Unajua Freeman Mbowe sio mtu wa Kawaida?

Pamoja sana!
MBOWE SI GAIDI!
1f44a.png
 
Freeman Mbowe sio mtu wa Kawaida, amini nakuambia.

Huyu mwamba amezaliwa kwenye familia ya kitajiri, Baba yake alikua ni tahiti na alimwezesha Mwlm Nyerere kifedha kwenda NY Marekani kudai uhuru. Hakukulia kwenye Manisha ya shida, Amezaliwa ama amekulia katikati ya jiji la Dar es salaam, Sea view Upanga.

Pamoja na utajiri wao mwingine lakini ndio waliokua wamiliki wa Mbowe hotel na baadae club bilicanas, club iliyokua maarufu sana hapa jiji Kabla ya kubomolewa na mwendazake.

Kwa kifupi Mbowe ni tahiti Hadi leo. Mbowe ndie mwenyekiti wa Chadema alieijenga chadema kwa jasho na damu binafsi. Amepitia mateso, machungu na magumu Sana katika kuijenga chadema kuliko mwanasiasa yoyote wa Tanzania kuliko hata mwalimu Nyerere alivyokua akidai uhuru wa Tanganyika.

  • Mbowe amebomolewa club bilicanas,
  • Ameharibiwa mashamba yake ya mbogamboga,
  • Alinusurika kupigwa risasi siku ya Akwilina,
  • Alipigwa na watu wasiojulikana akiwa Dodoma.

Alishuhudia tukio baya kabisa la kushambulia kwa mbunge na mwanachama wa chama anachokiongoza, Mbunge Lissu,
Wanachama machachari na mabwege aliowatafuta na kuwafanya wakapata majina makubwa nchini walimsaliti na wakaondoka huku wakimkashifu,lakini hakuwajibu kitu, Aliwakaribisha kiungwana baadhi ya wanasiasa kuja chadema na kupata haki sawa lakini baadae wakarudi waalikotoka huku wakimtukana. Hawa wote Mbowe hakujibizana nao.

Mbowe Kila alipopata nafasi ya kuongea na taifa hakusita kuomba maridhiano ya kitaifa.
Mwenyekiti wa CCM taifa na Raid Marehemu Magufuli katika sherehe za uhuru huko CCM kirumba Mwanza alipompa Mbowe nafasi ya kusema machache,Mbowe aliomba Maridhiano ya kitaifa.

Mbowe leo hii Yuko ndani kwa kesi ya Ugaidi lakini sio mara ya kwanza kuqekwa ndani,Mbowe aliwekwa ndani miezi Mungu Bila kufukishwa mahakama na mara nyingine aliwekwa yeye na viongozi wenzake wa Chadema.Mbowe na wenzake walitoka kwa kulipiwa faini iliyochangishwa nchi mzima na wananchi wenye mapenzi mema.

Unaweza kukuuliza Kwa nini Mbowe amekubali kumpigia haya wakati hana shida yoyote,ni tajiri kama kama majajiri wengine walioamua kujiegemeza CCM ili wapate Kinga za utajiri wao?

Lowoasa alihamia chadema akatikiswa kidogo tu akarejea CCM,
Halikadharika Sumaye,Nyalandu na wengi kama hao.
Tazama wabunge wa ndugai akina Mdee,kuona tu hawatakua wabunge wote wakatimkia Bungeni kinyume na Sheria I'll wapate posho.

Mbowe ni Mzalendo wa kweli,ni mtaka mabadiliko wa kweli ni mpenda haki wa kweli.Mbowe hayupo kwenye siasa kwa sababu ya njaa,Mbowe kweli ni mtetezi wa wanyonge na ndio kazi ya chadema na chama makini cha siasa.
Mbowe kwa sasa anashitakiwa kwq kosa la hatari na kubwa Sana kosa la Ugaidi.
Angekua mtu mwingine angeshanyoosha mikono na kurudi kufanya biashara.
Siku zote ukimuona Mtu huyu huonesha sura ya Tanasamu hata akiwa mahakama .
Sikuwahi kujua kama Mbowe ana kaka Mwanajeshi,tena Major General wa JWTZ Marehemu.

Ukisikia kuna watu wakweli Dunia I Mbowe ni mmoja wao.

Mbowe alaiondokewa na wanasiasa mahili kama Zito,Slaa,Mwigamba,Arfi,Mashinji,Mdee,Bulaya,Shonza,Safari,Katambi,Mwambe,kutoka na wengine wengi,lakini Mbowe hajateteleka na Chadema Bado inapendwa.

Pamoja na jitihada zote za kumtoa Mbowe kwenye mstari na ndani ya misimamo yake,jitihada za kutaka kuiua chadema lakini chadema bado ni tishio kubwa Sana na Bado inaaminika na wananchi wengi Sana.

Chadema imeimarika zaidi na Mbowe amekuwa imara zaidi kuliko wakati wowote ule.

Mbowe hana shida za kiuchumi lakini anapigania haki za kisiasa katika Taifa hilo.
Kumbuka siasa ndio kila kitu.
Unapozungumzua siasa unazungumzia bei za umeme,maji,cementi,mafuta,chakula,elimu,usalama,katiba,amani,haki,furaha,sayasi,imani,utamaduni,mali,biashara na Kila kitu,kwani vitu hivyo hupangwa na kuamuliawa na wanasiasa.

Mbowe anakosa nini?
Mbowe sio Gaidi.
Mi nadhani tuuseme ukweli kuwa huyu ni shujaa namba 1 duniani hata Mungu alipomaliza kumuumba Yesu aliyefuta ni Freeman, na hajawai tokea mtu kama yeye ambaye kila uchaguzi mkuu unapoanza anakikopesha chama miela kibao na anakidai chama miela kibao mpaka leo.
Pia ni mwenyekiti wa maisha wa Chadema milele Mungu na wanadamu tumemtukuza, Aliteguka miguu tu bila ya kuumia popote alivyokuwa amelewa chakali Faru Joni hakuzimia wala nini na hakuwai kukanusha.

Tofauti na Mandela alipokuwa gerezaji watu walimwaacha na kuendelea na shughuli za chama na ukombozi Mbowe mtu wa Mungu shujaa yeye shughuli zote zimesimama, macho, masikio, akili zote ziko mahakamani. Hata akiukumiwa miaka 30 tutaakikisha tunaelekeza akili na kilakitu Segerea ikiwezekana ofisi kuamia Segerea kwa mtu wa ajabu kuwa kutokea duniani.

Mimi sishangai kwani hata huku kwetu kanisani tukimpenda mchungaji hata waseme kafanyaje hatusikilizagi kwasababu ni mteuliwa wa Mungu, tulikuwa na mchugaji mmoja alikuwa analamba kondoo tena walionona, kuna jamaa alikuwa anatetea mpaka raha lakini siku moja alilambwa mkewe akajua, mimacho ilimtoka kama fundi saalakini sisi tulimtuliza atulie na mambo yaendelee kwani mtumishi wa Mungu unakuwa umemgusa Mungu.

Shujaa mboe tajiri mkubwa lakini ilihali akijua kuwa likachero Lowasa liko kazini alikubali kupokea kitita cha noti hili kuongeza mtaji kwa kuibadirisha gia box angani na yaliyotokea nani ajui kuwa huyu ni shujaa. Na mimi kama mtoto wa mchugaji anamwona kama mtu shujaa kwa uwezo wake mkubwa wa kuiga utamaduni wa kanisa kukusanya sadaka na kuuamishia Ufipa na kuweza kukusanya sadaka kuzidi sisi ambao tumesoma teolojia na saikolojia ametuzidi unaweza vipi kukataa si shujaa.

Mbowe ambaye aliunda Redibrigedia Nyekundu ambayo ilikuwa inakong'ota mpaka viongozi waliokuwa awakubali maamuzi yake unadhani itakuwaje akija kuchukuwa nchi si tutashuhudia ushujaa wake.
Wakati waafrika wote na duniani na wakristu na waislam tukiamini kuwa mtu akifa tunamwacha kwani ametangulia mbele za haki lakini ni tofauti kwa huyu shujaa Mbowe na kweli ni shujaa kwa sababu nilishuhuudia hotuba yake baada ya marehemu akiwa Nairobi aliikomalia maiti aliikunja aliamua mpaka kuichania sanda yaani alikuwa anaongea kanakwamba huyo mtu mzima hili hali alipokuwa mzima huyu shujaa mkia ulifika mpaka usoni kupitia chini.

Nawasilisha karibuni sana kanisani.
 
Freeman Mbowe sio mtu wa Kawaida, amini nakuambia.

Huyu mwamba amezaliwa kwenye familia ya kitajiri, Baba yake alikua ni tahiti na alimwezesha Mwlm Nyerere kifedha kwenda NY Marekani kudai uhuru. Hakukulia kwenye Manisha ya shida, Amezaliwa ama amekulia katikati ya jiji la Dar es salaam, Sea view Upanga.

Pamoja na utajiri wao mwingine lakini ndio waliokua wamiliki wa Mbowe hotel na baadae club bilicanas, club iliyokua maarufu sana hapa jiji Kabla ya kubomolewa na mwendazake.

Kwa kifupi Mbowe ni tahiti Hadi leo. Mbowe ndie mwenyekiti wa Chadema alieijenga chadema kwa jasho na damu binafsi. Amepitia mateso, machungu na magumu Sana katika kuijenga chadema kuliko mwanasiasa yoyote wa Tanzania kuliko hata mwalimu Nyerere alivyokua akidai uhuru wa Tanganyika.

  • Mbowe amebomolewa club bilicanas,
  • Ameharibiwa mashamba yake ya mbogamboga,
  • Alinusurika kupigwa risasi siku ya Akwilina,
  • Alipigwa na watu wasiojulikana akiwa Dodoma.

Alishuhudia tukio baya kabisa la kushambulia kwa mbunge na mwanachama wa chama anachokiongoza, Mbunge Lissu,
Wanachama machachari na mabwege aliowatafuta na kuwafanya wakapata majina makubwa nchini walimsaliti na wakaondoka huku wakimkashifu,lakini hakuwajibu kitu, Aliwakaribisha kiungwana baadhi ya wanasiasa kuja chadema na kupata haki sawa lakini baadae wakarudi waalikotoka huku wakimtukana. Hawa wote Mbowe hakujibizana nao.

Mbowe kila alipopata nafasi ya kuongea na taifa hakusita kuomba maridhiano ya kitaifa. Mwenyekiti wa CCM taifa na Rais Marehemu Magufuli katika sherehe za uhuru huko CCM Kirumba Mwanza alipompa Mbowe nafasi ya kusema machache, Mbowe aliomba Maridhiano ya kitaifa.

Mbowe leo hii Yuko ndani kwa kesi ya Ugaidi lakini sio mara ya kwanza kuwekwa ndani, Mbowe aliwekwa ndani miezi Bila kufikishwa mahakama na mara nyingine aliwekwa yeye na viongozi wenzake wa Chadema. Mbowe na wenzake walitoka kwa kulipiwa faini iliyochangishwa nchi mzima na wananchi wenye mapenzi mema.

Unaweza kukuuliza Kwa nini Mbowe amekubali kumpigia haya wakati hana shida yoyote, ni tajiri kama kama majajiri wengine walioamua kujiegemeza CCM ili wapate Kinga za utajiri wao?

Lowoasa alihamia chadema akatikiswa kidogo tu akarejea CCM, Halikadharika Sumaye, Nyalandu na wengi kama hao.
Tazama wabunge wa Ndugai akina Mdee, kuona tu hawatakua wabunge wote wakatimkia Bungeni kinyume na Sheria I'll wapate posho.

Mbowe ni Mzalendo wa kweli, ni mtaka mabadiliko wa kweli ni mpenda haki wa kweli.Mbowe hayupo kwenye siasa kwa sababu ya njaa,Mbowe kweli ni mtetezi wa wanyonge na ndio kazi ya chadema na chama makini cha siasa. Mbowe kwa sasa anashitakiwa kwq kosa la hatari na kubwa Sana kosa la Ugaidi. Angekua mtu mwingine angeshanyoosha mikono na kurudi kufanya biashara. Siku zote ukimuona Mtu huyu huonesha sura ya Tanasamu hata akiwa mahakama. Sikuwahi kujua kama Mbowe ana kaka Mwanajeshi, tena Major General wa JWTZ Marehemu. Ukisikia kuna watu wakweli Dunia I Mbowe ni mmoja wao.

Mbowe alaiondokewa na wanasiasa mahili kama Zito, Slaa, Mwigamba, Arfi, Mashinji, Mdee, Bulaya, Shonza, Safari, Katambi, Mwambe, kutoka na wengine wengi, lakini Mbowe hajateteleka na Chadema Bado inapendwa.

Pamoja na jitihada zote za kumtoa Mbowe kwenye mstari na ndani ya misimamo yake, jitihada za kutaka kuiua chadema lakini chadema bado ni tishio kubwa Sana na Bado inaaminika na wananchi wengi Sana.

Chadema imeimarika zaidi na Mbowe amekuwa imara zaidi kuliko wakati wowote ule.

Mbowe hana shida za kiuchumi lakini anapigania haki za kisiasa katika Taifa hilo.
Kumbuka siasa ndio kila kitu.

Unapozungumzua siasa unazungumzia bei za umeme, maji, cementi, mafuta,chakula, elimu,usalama, katiba, amani, haki, furaha, sayasi, imani, utamaduni, mali biashara na Kila kitu, kwani vitu hivyo hupangwa na kuamuliawa na wanasiasa.

Mbowe anakosa nini?
Mbowe sio Gaidi.
Pia ni jabali kuu. "Freeman is not a terrorist".
 
Haina ubishi wanufaika wakubwa wa siku 100 za kwanza za Rais SSH ni CDM, Mbowe na Mdude kwa maelekezo, falsafa na haiba ya Samia. Mpaka tukaandika threads nyingi za kusema "Mama anaupiga mwingi".

Ningetegemea Mbowe na Lissu watumie busara katika madai yao kwa kuwa wasikivu na wavumilivu pale Samia aliposema suala la Katiba lisubiri ajenge uchumi.

Duniani tunaishi kwa win- win situation. Kama Samia amefuta kesi za kubambikiza, Mahakama zimeanza kutenda haki, akaunti za Mbowe zimefunguliwa, uhuru wa maoni umeruhisiwa na hatua za kudhibiti COVID-19 zimeanza kuchukuliwa, hiyo ni WIN kwa CDM. Nilitegemea naye Rais SSH WIN yake iwe kusikilizwa aliposema nataka nijenge uchumi kwanza.

On the contrary Mbowe na Lissu wakaanza kumfokea Rais kama vile ni mbunge wa BAWACHA??

Mpaka unajiuliza nini kimewapata hawa watu ambao kwa Mwendazake waliufyata miaka 5. Mwendazake kawapiga risasi, kavunja Bilicanas na kavunja na mashamba yake, kamchukulia na fedha kwenye akaunti. Hajawahi hata kulalamika.

Samia kamrudishia akaunti, kesi zao za kubambika zikapigwa chini pamoja na ya MDUDE. Halafu wao ndiyo wa kwanza kusema HATUWEZI KUMBEMBELEZA Samia. Shenz taipu Bladifakeni Mbowe
Hakuna uchumi anaojenga Samia na hajui hata huo uchumi unajengwaje, acha uongo bwana. Ccm ili wawepo lazima wafanye hayo otherwise, ccm is kaput.
 
Ukiacha hayo matusi uliyoandika, kimsingi hata mimi nilikuwa nawaza kwamba Rais Samia anahitaji kupewa muda, hasa kwa nia njema aliyokwisha ionesha.
Lakini baada ya kutafakari kwa makini, nimeona CHADEMA wako sahihi katika hayo wanayofanya. Kitu ambacho kiko wazi ni kwamba Samia alivutwa sketi, hasa baada ya kuonesha nia ya kukutana na CHADEMA. Na hao waliomshauri aachane na CHADEMA, walikuwa na hoja.
Iko hivi. CCM imetumia wizi mkubwa sana kuingia madarakani 2019 na 2020. Siku za mwanzo za kampeni za 2020, CHADEMA walikuwa wanyonge. Lakini baada ya kuona mwitikio wa wananchi, wakajiamini zaidi. Magufuli, ambaye ni mwoga sana wa competition, akaanza kumhujumu Lissu, ambapo mwanzo alimuignore. Sasa miaka 5 ya Magufuli iliumiza wananchi wengi, na walikuwa tayari kuiondoa CCM madarakani. Kisiasa, ccm ni mfu, bila mkongojo na mbeleko ya Dola, ccm hamna kitu.

Kwa hiyo, kuongea na CHADEMA maana yake angalau Katiba na sheria ya vyama vya siasavifuatwe. Naamini Samia alikuwa tayari kwa hayo. Lakini hata Polepole aliwahi kusema, kabla hajajiunga na ccm na kuweka kando akili zake, kwamba kama sheria zinaheshimiwa, ccm haiwezi kushinda.

Kwa kulitambua hilo, washauri wa Samia hawawezi kumshauri akae na CHADEMA.

Kwa hiyo Samia alivunja ahadi yake, akwaachia polisi na watu wa usalama washughulike na CHADEMA . Hiyo kwa Kweli inazidi kuiua ccm. Mbinu ingine walishauri CHADEMA waongee na polisi badala ya Samia. Huu ulikuwa mtego, ambao hata akina zitto waliingia mkenge, kabla ya kuushitukia. Lakini CHADEMA waliuona mapema sana.

Kimsingi, haki haitolewi bure, hupiganiwa. Ndio maana Kenya wako vizuri zaidi kwa sababu walipambana, wakamwaga damu, sio tu wakati wa uhuru, bali pia kipindi cha katiba mpya.

Kwa hakika, kama Samia angetekeleza ahadi yake, akaongea na CHADEMA , Mbowe hangekuwa na nguvu na umaarufu alio nao sasa. Na hii ndio siri wasiyoijua ccm. Upinzani unapungua nguvu mnapojadiliana. Mnapokuwa na muafaka
 
Wewe unajuwa nini kuhusu uchumi? Choo cha nyumba yako chenyewe imeshindwa kujenga, unakunya kwa jirani, halafu unakuja kubeza kazi za kimkakati za taifa
 
Yote nakubaliana na wewe kasoro aya hii hapa;
"Kimsingi, haki haitolewi bure, hupiganiwa. Ndio maana Kenya wako vizuri zaidi kwa sababu walipambana, wakamwaga damu, sio tu wakati wa uhuru, bali pia kipindi cha katiba mpya."

Kumwaga damu kwa ajili ya wachache wanaogombea kutawala HAPANA. Wakenya waligombana na Kikwete na Mkapa ndiyo walihusika kuwapatanisha. Burundi, Rwanda, Uganda hawa wote wakipata shida wanasuluhishwa Tanzania. Sisi tutakwenda wapi? Kisa tu Mbowe awe Rais?
 
Siasa za Tanzania zina magwiji watatu

1.JK Nyerere
2. J.M Kikwete
3.F.A.Mbowe

Wengine wote wanasiasa uchwara hawawafiki hao jamaa hata chembe

Hawa wamepiga mwingi sana kwenye hizi siasa zetu

Hawa ni majabali hasa .

#MboweSioGaidi
 
Mi nadhani tuuseme ukweli kuwa huyu ni shujaa namba 1 duniani hata Mungu alipomaliza kumuumba Yesu aliyefuta ni Freeman, na hajawai tokea mtu kama yeye ambaye kila uchaguzi mkuu unapoanza anakikopesha chama miela kibao na anakidai chama miela kibao mpaka leo.
Pia ni mwenyekiti wa maisha wa Chadema milele Mungu na wanadamu tumemtukuza, Aliteguka miguu tu bila ya kuumia popote alivyokuwa amelewa chakali Faru Joni hakuzimia wala nini na hakuwai kukanusha.

Tofauti na Mandela alipokuwa gerezaji watu walimwaacha na kuendelea na shughuli za chama na ukombozi Mbowe mtu wa Mungu shujaa yeye shughuli zote zimesimama, macho, masikio, akili zote ziko mahakamani. Hata akiukumiwa miaka 30 tutaakikisha tunaelekeza akili na kilakitu Segerea ikiwezekana ofisi kuamia Segerea kwa mtu wa ajabu kuwa kutokea duniani.

Mimi sishangai kwani hata huku kwetu kanisani tukimpenda mchungaji hata waseme kafanyaje hatusikilizagi kwasababu ni mteuliwa wa Mungu, tulikuwa na mchugaji mmoja alikuwa analamba kondoo tena walionona, kuna jamaa alikuwa anatetea mpaka raha lakini siku moja alilambwa mkewe akajua, mimacho ilimtoka kama fundi saalakini sisi tulimtuliza atulie na mambo yaendelee kwani mtumishi wa Mungu unakuwa umemgusa Mungu.

Shujaa mboe tajiri mkubwa lakini ilihali akijua kuwa likachero Lowasa liko kazini alikubali kupokea kitita cha noti hili kuongeza mtaji kwa kuibadirisha gia box angani na yaliyotokea nani ajui kuwa huyu ni shujaa. Na mimi kama mtoto wa mchugaji anamwona kama mtu shujaa kwa uwezo wake mkubwa wa kuiga utamaduni wa kanisa kukusanya sadaka na kuuamishia Ufipa na kuweza kukusanya sadaka kuzidi sisi ambao tumesoma teolojia na saikolojia ametuzidi unaweza vipi kukataa si shujaa.

Mbowe ambaye aliunda Redibrigedia Nyekundu ambayo ilikuwa inakong'ota mpaka viongozi waliokuwa awakubali maamuzi yake unadhani itakuwaje akija kuchukuwa nchi si tutashuhudia ushujaa wake.
Wakati waafrika wote na duniani na wakristu na waislam tukiamini kuwa mtu akifa tunamwacha kwani ametangulia mbele za haki lakini ni tofauti kwa huyu shujaa Mbowe na kweli ni shujaa kwa sababu nilishuhuudia hotuba yake baada ya marehemu akiwa Nairobi aliikomalia maiti aliikunja aliamua mpaka kuichania sanda yaani alikuwa anaongea kanakwamba huyo mtu mzima hili hali alipokuwa mzima huyu shujaa mkia ulifika mpaka usoni kupitia chini.

Nawasilisha karibuni sana kanisani.
Unaongea vitu ambavyo ni propaganda na pia haviendani na uhalisia. Lowasa hajatoa pesa yoyote kwa CHADEMA. Ndio, alileta kura nyingi za urais, alileta wabunge na madiwani wengi, japo nao wengi wao walikuwa wasakatonge. Hozi propaganda kwamba Mbowe anategemea fedha ya CHADEMA, bado tu mnaziendeleza ilhali CHADEMA sasa hawapokei asilani ruzuku ya serikali, wameisusa. Sasa Mbowe hapo anakula pesa gani? Sema mmezoea hongo, rushwa na ufisadi huko ccm, mnazania kila mtu mwizi kama nyie?
 
Ndiyo hizo dharau sasa ninazoziongelea. Unamuwekea timeframe Rais wa nchi?? Wewe nani?? Mbowe mwenyewe hajaachia Uwenyekiti wa CHADEMA kuanzia mwaka 2003, halafu anataka kumpangia Rais SSH??

Muache aendelee kunyea debe kwanza, na akitoka atakuwa kashika adabu. Shenzy Taipu
Walamba makalio wa lumumba
 
Mi nadhani tuuseme ukweli kuwa huyu ni shujaa namba 1 duniani hata Mungu alipomaliza kumuumba Yesu aliyefuta ni Freeman, na hajawai tokea mtu kama yeye ambaye kila uchaguzi mkuu unapoanza anakikopesha chama miela kibao na anakidai chama miela kibao mpaka leo.
Pia ni mwenyekiti wa maisha wa Chadema milele Mungu na wanadamu tumemtukuza, Aliteguka miguu tu bila ya kuumia popote alivyokuwa amelewa chakali Faru Joni hakuzimia wala nini na hakuwai kukanusha.

Tofauti na Mandela alipokuwa gerezaji watu walimwaacha na kuendelea na shughuli za chama na ukombozi Mbowe mtu wa Mungu shujaa yeye shughuli zote zimesimama, macho, masikio, akili zote ziko mahakamani. Hata akiukumiwa miaka 30 tutaakikisha tunaelekeza akili na kilakitu Segerea ikiwezekana ofisi kuamia Segerea kwa mtu wa ajabu kuwa kutokea duniani.

Mimi sishangai kwani hata huku kwetu kanisani tukimpenda mchungaji hata waseme kafanyaje hatusikilizagi kwasababu ni mteuliwa wa Mungu, tulikuwa na mchugaji mmoja alikuwa analamba kondoo tena walionona, kuna jamaa alikuwa anatetea mpaka raha lakini siku moja alilambwa mkewe akajua, mimacho ilimtoka kama fundi saalakini sisi tulimtuliza atulie na mambo yaendelee kwani mtumishi wa Mungu unakuwa umemgusa Mungu.

Shujaa mboe tajiri mkubwa lakini ilihali akijua kuwa likachero Lowasa liko kazini alikubali kupokea kitita cha noti hili kuongeza mtaji kwa kuibadirisha gia box angani na yaliyotokea nani ajui kuwa huyu ni shujaa. Na mimi kama mtoto wa mchugaji anamwona kama mtu shujaa kwa uwezo wake mkubwa wa kuiga utamaduni wa kanisa kukusanya sadaka na kuuamishia Ufipa na kuweza kukusanya sadaka kuzidi sisi ambao tumesoma teolojia na saikolojia ametuzidi unaweza vipi kukataa si shujaa.

Mbowe ambaye aliunda Redibrigedia Nyekundu ambayo ilikuwa inakong'ota mpaka viongozi waliokuwa awakubali maamuzi yake unadhani itakuwaje akija kuchukuwa nchi si tutashuhudia ushujaa wake.
Wakati waafrika wote na duniani na wakristu na waislam tukiamini kuwa mtu akifa tunamwacha kwani ametangulia mbele za haki lakini ni tofauti kwa huyu shujaa Mbowe na kweli ni shujaa kwa sababu nilishuhuudia hotuba yake baada ya marehemu akiwa Nairobi aliikomalia maiti aliikunja aliamua mpaka kuichania sanda yaani alikuwa anaongea kanakwamba huyo mtu mzima hili hali alipokuwa mzima huyu shujaa mkia ulifika mpaka usoni kupitia chini.

Nawasilisha karibuni sana kanisani.
Eti mtt wa mchunguji
 
Mbowe ni mwamba.amefanya harakati hata vijijini.mfano Kule mbozi na momba Hadi vijana waliomaliza vyuo hawana fedha ya kampeni walipata ubunge(silinde na haonga).Viva mbowe,God is with you.
 
Back
Top Bottom