Unajua Freeman Mbowe sio mtu wa Kawaida?

Ndiyo hizo dharau sasa ninazoziongelea. Unamuwekea timeframe Rais wa nchi?? Wewe nani?? Mbowe mwenyewe hajaachia Uwenyekiti wa CHADEMA kuanzia mwaka 2003, halafu anataka kumpangia Rais SSH??

Muache aendelee kunyea debe kwanza, na akitoka atakuwa kashika adabu. Shenzy Taipu
endelea kutumika..ipo siku akili zako zitarud tu

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Freeman Mbowe sio mtu wa Kawaida,amini nakuambia.

Huyu mwamba amezaliwa kwenye familia ya kitajiri,

Baba yake alikua ni tahiti na alimwezesha Mwlm Nyerere kifedha kwenda NY Marekani kudai uhuru.

Hakukulia kwenye Manisha ya shida,

Amezaliwa ama amekulia katikati ya jiji la Dar es salaam,Sea view Upanga.

Pamoja na utajiri wao mwingine lakini ndio waliokua wamiliki wa Mbowe hotel na baadae club bilicanas,club iliyokua maarufu Sana hapa jiji Kabla ya kubomolewa na mwendazake.

Kwa kifupi Mbowe ni tahiti Hadi leo.

Mbowe ndie mwenyekiti wa Chadema alieijenga chadema kwa jasho na damu binafsi.

Amepitia mateso,machungu na magumu Sana katika kuijenga chadema kuliko mwanasiasa yoyote wa Tanzania kuliko hata mwalimu Nyerere alivyokua akidai uhuru wa Tanganyika.

Mbowe amebomolewa club bilicanas,
Ameharibiwa mashamba yake ya mbogamboga,
Alinusurika kupiga risasi siku ya Akwilina,
Alipigwa na watu wasiojulikana akiwa Dodoma.
Alishuhudia tukio baya kabisa la kushambulia kwa mbunge na mwanachama wa chama anachokiongoza,Mbunge Lissu,
Wanachama machachari na mabwege aliowatafuta na kuwafanya wakapata majina makubwa nchini walimsaliti na wakaondoka huku wakimkashifu,lakini hakuwajibu kitu,
Aliwakaribisha kiungwana baadhi ya wanasiasa kuja chadema na kupata haki sawa lakini baadae wakarudi waalikotoka huku wakimtukana.
Hawa wote Mbowe hakujibizana nao.

Mbowe Kila alipopata nafasi ya kuongea na taifa hakusita kuomba maridhiano ya kitaifa.
Mwenyekiti wa CCM taifa na Raid Marehemu Magufuli katika sherehe za uhuru huko CCM kirumba Mwanza alipompa Mbowe nafasi ya kusema machache,Mbowe aliomba Maridhiano ya kitaifa.

Mbowe leo hii Yuko ndani kwa kesi ya Ugaidi lakini sio mara ya kwanza kuqekwa ndani,Mbowe aliwekwa ndani miezi Mungu Bila kufukishwa mahakama na mara nyingine aliwekwa yeye na viongozi wenzake wa Chadema.Mbowe na wenzake walitoka kwa kulipiwa faini iliyochangishwa nchi mzima na wananchi wenye mapenzi mema.

Unaweza kukuuliza Kwa nini Mbowe amekubali kumpigia haya wakati hana shida yoyote,ni tajiri kama kama majajiri wengine walioamua kujiegemeza CCM ili wapate Kinga za utajiri wao?

Lowoasa alihamia chadema akatikiswa kidogo tu akarejea CCM,
Halikadharika Sumaye,Nyalandu na wengi kama hao.
Tazama wabunge wa ndugai akina Mdee,kuona tu hawatakua wabunge wote wakatimkia Bungeni kinyume na Sheria I'll wapate posho.

Mbowe ni Mzalendo wa kweli,ni mtaka mabadiliko wa kweli ni mpenda haki wa kweli.Mbowe hayupo kwenye siasa kwa sababu ya njaa,Mbowe kweli ni mtetezi wa wanyonge na ndio kazi ya chadema na chama makini cha siasa.
Mbowe kwa sasa anashitakiwa kwq kosa la hatari na kubwa Sana kosa la Ugaidi.
Angekua mtu mwingine angeshanyoosha mikono na kurudi kufanya biashara.
Siku zote ukimuona Mtu huyu huonesha sura ya Tanasamu hata akiwa mahakama .
Sikuwahi kujua kama Mbowe ana kaka Mwanajeshi,tena Major General wa JWTZ Marehemu.

Ukisikia kuna watu wakweli Dunia I Mbowe ni mmoja wao.

Mbowe alaiondokewa na wanasiasa mahili kama Zito,Slaa,Mwigamba,Arfi,Mashinji,Mdee,Bulaya,Shonza,Safari,Katambi,Mwambe,kutoka na wengine wengi,lakini Mbowe hajateteleka na Chadema Bado inapendwa.

Pamoja na jitihada zote za kumtoa Mbowe kwenye mstari na ndani ya misimamo yake,jitihada za kutaka kuiua chadema lakini chadema bado ni tishio kubwa Sana na Bado inaaminika na wananchi wengi Sana.

Chadema imeimarika zaidi na Mbowe amekuwa imara zaidi kuliko wakati wowote ule.

Mbowe hana shida za kiuchumi lakini anapigania haki za kisiasa katika Taifa hilo.
Kumbuka siasa ndio kila kitu.
Unapozungumzua siasa unazungumzia bei za umeme,maji,cementi,mafuta,chakula,elimu,usalama,katiba,amani,haki,furaha,sayasi,imani,utamaduni,mali,biashara na Kila kitu,kwani vitu hivyo hupangwa na kuamuliawa na wanasiasa.

Mbowe anakosa nini?
Mbowe sio Gaidi.

Sio mtu wa kawaida kweli

Div 0 ya Form 6, unafikiri Mbowe kuipata hiyo 0 ni mtu wa kawaida, sio wa kawaida huyo, ni nyoko sana
 
Una mahaba na

Una mahaba na Mbowe sio bure. Hakuna Baya hata moja kwake so yeye ni mtakatifu jamani
 
Sio mtu wa kawaida kweli

Div 0 ya Form 6, unafikiri Mbowe kuipata hiyo 0 ni mtu wa kawaida, sio wa kawaida huyo, ni nyoko sana
Bora Mbowe ni ya form six wewe ya mwenyekiti wako ni ya FORM FOUR.Uliza tena hapo Lumumba.
 
Rais wa nchi ni Mungu wako?
Hii ndiyo mentality ya kipumbavu kabisa, na ndiyo anavyoichukulia huyo mnayemfanya awe mungu wenu!
Uakiona mtu kwenye mjadala wa kawaida ana resort kwenye matusi, ujue ni mufilisi kifikra. Siwezi kukurudishia tusi kwa vile wasomaji watashindwa kujua ni nani mpumbavu kati yangu na Kalamu1
 
Freeman Mbowe sio mtu wa Kawaida,amini nakuambia.

Huyu mwamba amezaliwa kwenye familia ya kitajiri,

Baba yake alikua ni tahiti na alimwezesha Mwlm Nyerere kifedha kwenda NY Marekani kudai uhuru.

Hakukulia kwenye Manisha ya shida,

Amezaliwa ama amekulia katikati ya jiji la Dar es salaam,Sea view Upanga.

Pamoja na utajiri wao mwingine lakini ndio waliokua wamiliki wa Mbowe hotel na baadae club bilicanas,club iliyokua maarufu Sana hapa jiji Kabla ya kubomolewa na mwendazake.

Kwa kifupi Mbowe ni tahiti Hadi leo.

Mbowe ndie mwenyekiti wa Chadema alieijenga chadema kwa jasho na damu binafsi.

Amepitia mateso,machungu na magumu Sana katika kuijenga chadema kuliko mwanasiasa yoyote wa Tanzania kuliko hata mwalimu Nyerere alivyokua akidai uhuru wa Tanganyika.

Mbowe amebomolewa club bilicanas,
Ameharibiwa mashamba yake ya mbogamboga,
Alinusurika kupiga risasi siku ya Akwilina,
Alipigwa na watu wasiojulikana akiwa Dodoma.
Alishuhudia tukio baya kabisa la kushambulia kwa mbunge na mwanachama wa chama anachokiongoza,Mbunge Lissu,
Wanachama machachari na mabwege aliowatafuta na kuwafanya wakapata majina makubwa nchini walimsaliti na wakaondoka huku wakimkashifu,lakini hakuwajibu kitu,
Aliwakaribisha kiungwana baadhi ya wanasiasa kuja chadema na kupata haki sawa lakini baadae wakarudi waalikotoka huku wakimtukana.
Hawa wote Mbowe hakujibizana nao.

Mbowe Kila alipopata nafasi ya kuongea na taifa hakusita kuomba maridhiano ya kitaifa.
Mwenyekiti wa CCM taifa na Raid Marehemu Magufuli katika sherehe za uhuru huko CCM kirumba Mwanza alipompa Mbowe nafasi ya kusema machache,Mbowe aliomba Maridhiano ya kitaifa.

Mbowe leo hii Yuko ndani kwa kesi ya Ugaidi lakini sio mara ya kwanza kuqekwa ndani,Mbowe aliwekwa ndani miezi Mungu Bila kufukishwa mahakama na mara nyingine aliwekwa yeye na viongozi wenzake wa Chadema.Mbowe na wenzake walitoka kwa kulipiwa faini iliyochangishwa nchi mzima na wananchi wenye mapenzi mema.

Unaweza kukuuliza Kwa nini Mbowe amekubali kumpigia haya wakati hana shida yoyote,ni tajiri kama kama majajiri wengine walioamua kujiegemeza CCM ili wapate Kinga za utajiri wao?

Lowoasa alihamia chadema akatikiswa kidogo tu akarejea CCM,
Halikadharika Sumaye,Nyalandu na wengi kama hao.
Tazama wabunge wa ndugai akina Mdee,kuona tu hawatakua wabunge wote wakatimkia Bungeni kinyume na Sheria I'll wapate posho.

Mbowe ni Mzalendo wa kweli,ni mtaka mabadiliko wa kweli ni mpenda haki wa kweli.Mbowe hayupo kwenye siasa kwa sababu ya njaa,Mbowe kweli ni mtetezi wa wanyonge na ndio kazi ya chadema na chama makini cha siasa.
Mbowe kwa sasa anashitakiwa kwq kosa la hatari na kubwa Sana kosa la Ugaidi.
Angekua mtu mwingine angeshanyoosha mikono na kurudi kufanya biashara.
Siku zote ukimuona Mtu huyu huonesha sura ya Tanasamu hata akiwa mahakama .
Sikuwahi kujua kama Mbowe ana kaka Mwanajeshi,tena Major General wa JWTZ Marehemu.

Ukisikia kuna watu wakweli Dunia I Mbowe ni mmoja wao.

Mbowe alaiondokewa na wanasiasa mahili kama Zito,Slaa,Mwigamba,Arfi,Mashinji,Mdee,Bulaya,Shonza,Safari,Katambi,Mwambe,kutoka na wengine wengi,lakini Mbowe hajateteleka na Chadema Bado inapendwa.

Pamoja na jitihada zote za kumtoa Mbowe kwenye mstari na ndani ya misimamo yake,jitihada za kutaka kuiua chadema lakini chadema bado ni tishio kubwa Sana na Bado inaaminika na wananchi wengi Sana.

Chadema imeimarika zaidi na Mbowe amekuwa imara zaidi kuliko wakati wowote ule.

Mbowe hana shida za kiuchumi lakini anapigania haki za kisiasa katika Taifa hilo.
Kumbuka siasa ndio kila kitu.
Unapozungumzua siasa unazungumzia bei za umeme,maji,cementi,mafuta,chakula,elimu,usalama,katiba,amani,haki,furaha,sayasi,imani,utamaduni,mali,biashara na Kila kitu,kwani vitu hivyo hupangwa na kuamuliawa na wanasiasa.

Mbowe anakosa nini?
Mbowe sio Gaidi.
Anastahili kura pesa ya chedema kwa mateso haya
 
Haina ubishi wanufaika wakubwa wa siku 100 za kwanza za Rais SSH ni CDM, Mbowe na Mdude kwa maelekezo, falsafa na haiba ya Samia. Mpaka tukaandika threads nyingi za kusema "Mama anaupiga mwingi".

Ningetegemea Mbowe na Lissu watumie busara katika madai yao kwa kuwa wasikivu na wavumilivu pale Samia aliposema suala la Katiba lisubiri ajenge uchumi.

Duniani tunaishi kwa win- win situation. Kama Samia amefuta kesi za kubambikiza, Mahakama zimeanza kutenda haki, akaunti za Mbowe zimefunguliwa, uhuru wa maoni umeruhisiwa na hatua za kudhibiti COVID-19 zimeanza kuchukuliwa, hiyo ni WIN kwa CDM. Nilitegemea naye Rais SSH WIN yake iwe kusikilizwa aliposema nataka nijenge uchumi kwanza.

On the contrary Mbowe na Lissu wakaanza kumfokea Rais kama vile ni mbunge wa BAWACHA??

Mpaka unajiuliza nini kimewapata hawa watu ambao kwa Mwendazake waliufyata miaka 5. Mwendazake kawapiga risasi, kavunja Bilicanas na kavunja na mashamba yake, kamchukulia na fedha kwenye akaunti. Hajawahi hata kulalamika.

Samia kamrudishia akaunti, kesi zao za kubambika zikapigwa chini pamoja na ya MDUDE. Halafu wao ndiyo wa kwanza kusema HATUWEZI KUMBEMBELEZA Samia. Shenz taipu Bladifakeni Mbowe
Mkuu kwani kurudishiwa account zakeke na Mdude kushinda kesi ni fadhila? Wewe ni mtu wa ajabu sana. Nakuchukiaga sana siku hizi. Yani Mdude kasingiziwa kabambikiwa kesi Mbowe kaporwa account zake walipora na kumuachia Mdude hao hao unawasifia. Why are you annoying nowadays?

Could you please dissappear to hell and never come back

God bless Freeman Mbowe
 
Ukinichukia ni hiari yako na uhuru wako wa kuiamini unachoamini. Usinilazimishe kuandika kufurahisha roho yako. Mimi siishi kwa kukariri bali nakosoa left and right, kama wewe unamuabudu Mbowe you can go to jail as well
 
LAZIMA UPANGIWE CHA KUANDIKA WEWEE KAMOOOONN.

Amready to go to Jail for Mwamba. Watu kama nyie ni wasaliti hamna msimamo. You have a spacial place in hell. Go back there where you belong.

Mbowe forever
 
Uakiona mtu kwenye mjadala wa kawaida ana resort kwenye matusi, ujue ni mufilisi kifikra. Siwezi kukurudishia tusi kwa vile wasomaji watashindwa kujua ni nani mpumbavu kati yangu na Kalamu1
"Upumbavu" hauwezi kujificha katika maandishi awekayo mtu kwenye jukwaa hili. Mtu haitwi "mpumbavu" bila kuona sababu ya upumbavu wake.
Sasa kama bado unapata shida kuelewa hayo, sina sababu zaidi ya kukufahamisha sifa sahihi unayoistahili.
 
LAZIMA UPANGIWE CHA KUANDIKA WEWEE KAMOOOONN.

Amready to go to Jail for Mwamba. Watu kama nyie ni wasaliti hamna msimamo. You have a spacial place in hell. Go back there where you belong.

Mbowe forever
Mbowe is already in jail, follow him mutha ..cka
 
"Upumbavu" hauwezi kujificha katika maandishi awekayo mtu kwenye jukwaa hili. Mtu haitwi "mpumbavu" bila kuona sababu ya upumbavu wake.
Sasa kama bado unapata shida kuelewa hayo, sina sababu zaidi ya kukufahamisha sifa sahihi unayoistahili.
Biblia inakataza kujibizana na watu kama wewe Kalamu

Mithali 26:4 . Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye

Nina logoff
 
Mleta mada hujaweka Na issue ya Chacha Wangwe hapo
Ooh yes umenikumbusha Ishu ya chacha wangwe.

Chacha Wangwe alikufa,
Rostam azizi kwa chuki alivyokua nayo dhidi ya chadema akiwa SA na akiwa mmiliki wa Magazeti fulani,kwa mkono wake akaandika malala kuonesha Chadema imehusika na kifo cha Wangwe.

Upande mwingine Polisi waliendelea na uchunguzi wakagundua mpaka Wangwe anakufa alikua na Deus Malya.
Kesi ikapelekwa mahakamani,
Deus Malya akautwa na hatia akafungwa.

Anatoka gerezani.

Baada ya Muda akawa mshirika wa Mwigulu mchemba,Deus Malya akashiriki kumfrem Lwakatare wa chadema kuwa Ni Gaidi.
Lisu akasimamia shoo Lwakatare akashinda kesi.
Yote haya Mbowe alipitia akiwa mwenyekiti wa Chadema.
Lego la yote hayo ni kutafuta namna ya kukifuta chama anachokiongoza Mwamba Mbowe.
 
Freeman Mbowe sio mtu wa Kawaida,amini nakuambia.

Huyu mwamba amezaliwa kwenye familia ya kitajiri,

Baba yake alikua ni tahiti na alimwezesha Mwlm Nyerere kifedha kwenda NY Marekani kudai uhuru.

Hakukulia kwenye Manisha ya shida,

Amezaliwa ama amekulia katikati ya jiji la Dar es salaam,Sea view Upanga.

Pamoja na utajiri wao mwingine lakini ndio waliokua wamiliki wa Mbowe hotel na baadae club bilicanas,club iliyokua maarufu Sana hapa jiji Kabla ya kubomolewa na mwendazake.

Kwa kifupi Mbowe ni tahiti Hadi leo.

Mbowe ndie mwenyekiti wa Chadema alieijenga chadema kwa jasho na damu binafsi.

Amepitia mateso,machungu na magumu Sana katika kuijenga chadema kuliko mwanasiasa yoyote wa Tanzania kuliko hata mwalimu Nyerere alivyokua akidai uhuru wa Tanganyika.

Mbowe amebomolewa club bilicanas,
Ameharibiwa mashamba yake ya mbogamboga,
Alinusurika kupiga risasi siku ya Akwilina,
Alipigwa na watu wasiojulikana akiwa Dodoma.
Alishuhudia tukio baya kabisa la kushambulia kwa mbunge na mwanachama wa chama anachokiongoza,Mbunge Lissu,
Wanachama machachari na mabwege aliowatafuta na kuwafanya wakapata majina makubwa nchini walimsaliti na wakaondoka huku wakimkashifu,lakini hakuwajibu kitu,
Aliwakaribisha kiungwana baadhi ya wanasiasa kuja chadema na kupata haki sawa lakini baadae wakarudi waalikotoka huku wakimtukana.
Hawa wote Mbowe hakujibizana nao.

Mbowe Kila alipopata nafasi ya kuongea na taifa hakusita kuomba maridhiano ya kitaifa.
Mwenyekiti wa CCM taifa na Raid Marehemu Magufuli katika sherehe za uhuru huko CCM kirumba Mwanza alipompa Mbowe nafasi ya kusema machache,Mbowe aliomba Maridhiano ya kitaifa.

Mbowe leo hii Yuko ndani kwa kesi ya Ugaidi lakini sio mara ya kwanza kuqekwa ndani,Mbowe aliwekwa ndani miezi Mungu Bila kufukishwa mahakama na mara nyingine aliwekwa yeye na viongozi wenzake wa Chadema.Mbowe na wenzake walitoka kwa kulipiwa faini iliyochangishwa nchi mzima na wananchi wenye mapenzi mema.

Unaweza kukuuliza Kwa nini Mbowe amekubali kumpigia haya wakati hana shida yoyote,ni tajiri kama kama majajiri wengine walioamua kujiegemeza CCM ili wapate Kinga za utajiri wao?

Lowoasa alihamia chadema akatikiswa kidogo tu akarejea CCM,
Halikadharika Sumaye,Nyalandu na wengi kama hao.
Tazama wabunge wa ndugai akina Mdee,kuona tu hawatakua wabunge wote wakatimkia Bungeni kinyume na Sheria I'll wapate posho.

Mbowe ni Mzalendo wa kweli,ni mtaka mabadiliko wa kweli ni mpenda haki wa kweli.Mbowe hayupo kwenye siasa kwa sababu ya njaa,Mbowe kweli ni mtetezi wa wanyonge na ndio kazi ya chadema na chama makini cha siasa.
Mbowe kwa sasa anashitakiwa kwq kosa la hatari na kubwa Sana kosa la Ugaidi.
Angekua mtu mwingine angeshanyoosha mikono na kurudi kufanya biashara.
Siku zote ukimuona Mtu huyu huonesha sura ya Tanasamu hata akiwa mahakama .
Sikuwahi kujua kama Mbowe ana kaka Mwanajeshi,tena Major General wa JWTZ Marehemu.

Ukisikia kuna watu wakweli Dunia I Mbowe ni mmoja wao.

Mbowe alaiondokewa na wanasiasa mahili kama Zito,Slaa,Mwigamba,Arfi,Mashinji,Mdee,Bulaya,Shonza,Safari,Katambi,Mwambe,kutoka na wengine wengi,lakini Mbowe hajateteleka na Chadema Bado inapendwa.

Pamoja na jitihada zote za kumtoa Mbowe kwenye mstari na ndani ya misimamo yake,jitihada za kutaka kuiua chadema lakini chadema bado ni tishio kubwa Sana na Bado inaaminika na wananchi wengi Sana.

Chadema imeimarika zaidi na Mbowe amekuwa imara zaidi kuliko wakati wowote ule.

Mbowe hana shida za kiuchumi lakini anapigania haki za kisiasa katika Taifa hilo.
Kumbuka siasa ndio kila kitu.
Unapozungumzua siasa unazungumzia bei za umeme,maji,cementi,mafuta,chakula,elimu,usalama,katiba,amani,haki,furaha,sayasi,imani,utamaduni,mali,biashara na Kila kitu,kwani vitu hivyo hupangwa na kuamuliawa na wanasiasa.

Mbowe anakosa nini?
Mbowe sio Gaidi.
100% mbowe sio gaidi
 
Kiufupi ni kuwa akuna na sijui kama itakuja tokea mwamba kama huyu kuja kushindana na ccm inayotumia nguvu ya dola na fedha ili kumpoteza kamanda mbowe. Pamoja na jitihada zao zote wameshindwa na hawataweza kumdondosha mwamba ana watu ndani na njee wanampa nguvu.
 
Back
Top Bottom