Unajua Freeman Mbowe sio mtu wa Kawaida?

Wewe unajuwa nini kuhusu uchumi? Choo cha nyumba yako chenyewe imeshindwa kujenga, unakunya kwa jirani, halafu unakuja kubeza kazi za kimkakati za taifa
Kazi gani za kimkakati.! Wanaacha kuboresha kilimo wanaenda kununua ndege, nani azipande wakati theluthi mbili ya watu wanaishi chini ya dola moja kwa siku. It's nonsense.
 
Kazi gani za kimkakati.! Wanaacha kuboresha kilimo wanaenda kununua ndege, nani azipande wakati theluthi mbili ya watu wanaishi chini ya dola moja kwa siku. It's nonsense.
Common sense is not common to common people like Imeloa
 
Yote nakubaliana na wewe kasoro aya hii hapa;
"Kimsingi, haki haitolewi bure, hupiganiwa. Ndio maana Kenya wako vizuri zaidi kwa sababu walipambana, wakamwaga damu, sio tu wakati wa uhuru, bali pia kipindi cha katiba mpya."

Kumwaga damu kwa ajili ya wachache wanaogombea kutawala HAPANA. Wakenya waligombana na Kikwete na Mkapa ndiyo walihusika kuwapatanisha. Burundi, Rwanda, Uganda hawa wote wakipata shida wanasuluhishwa Tanzania. Sisi tutakwenda wapi? Kisa tu Mbowe awe Rais?
Msuluhishi atapatikana. Hata hao wakati wanapita huko hawakupangilia kwamba Tanzania itawasuluhisha.
 
Ni kweli siyo wa kawaida, Dodoma baada ya kulewa Faru John akasema kapigwa na wasiojulikana.

Ruzuku tangu upinzani uanze hakununua hata kiwanja kujenga ofisi makao makuu.
Baada ya account zake kufungwa kwa Mambo ya kifamilia,akadai TRA walizifunga.
Baada ya kupesa mshiko wa kutosha huko kwa mabeberu hataki Tena kuchukua ruzuku.
Kweli huyu ni kamanda.
 
Msuluhishi atapatikana. Hata hao wakati wanapita huko hawakupangilia kwamba Tanzania itawasuluhisha.
Tuanzishe mtafaruku kwa sababu tunajuwa kuwa msuluhishi atapatikana? Kisa Tundu Lissu na Mbowe waingie Ikulu?? Our country will not be ruled by dogs
 
Kwa hiyo serikali haijakosea kumkamata Mbowe then. Kwa kuwa yeye (Mbowe) si mtu wa kawaida, inabidi serikali wasimwachie huru maana shetani akipewa fursa anaweza angamiza jamii huku akiwacheka.
 
Nakupongeza kwa kila kitu kwenye hilo andiko, lakini kwenye wanasiasa mahiri waliondoka, umemjumuisha Shonza?! Na ungemweka na Lijuha-likali, ndo tungegombana kabisaaa! Zile ni pumba mahiri, zimechujwa!
 
Ndiyo hizo dharau sasa ninazoziongelea. Unamuwekea timeframe Rais wa nchi?? Wewe nani?? Mbowe mwenyewe hajaachia Uwenyekiti wa CHADEMA kuanzia mwaka 2003, halafu anataka kumpangia Rais SSH??

Muache aendelee kunyea debe kwanza, na akitoka atakuwa kashika adabu. Shenzy Taipu
Hata Wewe ni hizo hizo taipu za shenzy, kwa sababu time frame aliyo zungumzia jamaa ni ya kufanya hiyo kazi ya kujenga uchumi, Haifanani na ukaaji madarakani wa Mbowe!
 
Hata Wewe ni hizo hizo taipu za shenzy, kwa sababu time frame aliyo zungumzia jamaa ni ya kufanya hiyo kazi ya kujenga uchumi, Haifanani na ukaaji madarakani wa Mbowe!
Kwani yeye mwenyewe Rais alitoa time frame?
 
Similar Discussions

110 Reactions
Reply
Back
Top Bottom