Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,710
Nimepoteza muda wangu mwingi kukufuatilia wewe, i lost my money too and still unasema kuwa hunitaki..... Hivi unajiskiaje labda. Hujui kama nyie mpo wengi kuliko sisi?... I will make one approach once again and if you will deny me, i will let it go. sitakufuata tena..... Nlivokuona mara ya kwanza nilishahisi kwamba utanipiga chenga, unakumbuka the first time uliniambiaje nilivokuomba namba eti "i don't give number to strangers" ....... Narudia tena.. HIVI UNAJISKIAJE LAKINI, unanifanya nachanganyikiwa:A S confused: