Unajiskiaje labda we mwanamke ukifanya hivi?

Davion Delmonte Jr.

JF-Expert Member
Oct 27, 2013
2,149
1,710
Nimepoteza muda wangu mwingi kukufuatilia wewe, i lost my money too and still unasema kuwa hunitaki..... Hivi unajiskiaje labda. Hujui kama nyie mpo wengi kuliko sisi?... I will make one approach once again and if you will deny me, i will let it go. sitakufuata tena..... Nlivokuona mara ya kwanza nilishahisi kwamba utanipiga chenga, unakumbuka the first time uliniambiaje nilivokuomba namba eti "i don't give number to strangers" ....... Narudia tena.. HIVI UNAJISKIAJE LAKINI, unanifanya nachanganyikiwa:A S confused:
 
Dogo jiandae kukwepa mawe kutoka kwa akina dada!!!!!!!!!
 
Kaka siyo kila kichaka unachokiona kinafaa kujisaidia kuna vyoo mahali panapostahili. Angalia kupenda kila mdada utakufa kabla ya muda wako!!!!!. Mgeukie Mungu akuondolee pepo hilo la uzinzi (jini mahaba).
 
Psheeeeeeeeeew!!!!!!! HUO UCHACHE WA WANAUME MNAOUONGELEA NI UPI HASWAAAAAAA?

POINT OF CORRECTION: Wanaume wa MAANA no wachache ila nyie free pumbu njoo nikupe bure, njoo tucheze friendly match kina Salu kwa mpemba, macha pale dukani, Zahiri kwenye m pesa, John wa bank, Tyron wa nssf, et al MBONA MKO KIBAOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!

Hivi wa dada kuna mtu kweli alisamua nataka mwanaume yeyote mradi ana kitu cha jicho moja akaosa kabisaaaaaaa? Hataaaa! Si bure atakuwa a hitilafu!
 
Mhurumie mtoto wa mwanamke mwenzako bana!!
 
Enzi zile nipo darasa la tatu tulisoma hadithi ya sungura.

Sizitaki za kijani hizi.

Usikate tamaa.

Duniani ni vema ukimpata unayempenda kuliko kumpata anaye kupenda.

Nimepoteza muda wangu mwingi kukufuatilia wewe, i lost my money too and still unasema kuwa hunitaki..... Hivi unajiskiaje labda. Hujui kama nyie mpo wengi kuliko sisi?... I will make one approach once again and if you will deny me, i will let it go. sitakufuata tena..... Nlivokuona mara ya kwanza nilishahisi kwamba utanipiga chenga, unakumbuka the first time uliniambiaje nilivokuomba namba eti "i don't give number to strangers" ....... Narudia tena.. HIVI UNAJISKIAJE LAKINI, unanifanya nachanganyikiwa:A S confused:
 
Nimepoteza muda wangu mwingi kukufuatilia wewe, i lost my money too and still unasema kuwa hunitaki..... Hivi unajiskiaje labda. Hujui kama nyie mpo wengi kuliko sisi?... I will make one approach once again and if you will deny me, i will let it go. sitakufuata tena..... Nlivokuona mara ya kwanza nilishahisi kwamba utanipiga chenga, unakumbuka the first time uliniambiaje nilivokuomba namba eti "i don't give number to strangers" ....... Narudia tena.. HIVI UNAJISKIAJE LAKINI, unanifanya nachanganyikiwa:A S confused:

huko ni kulalamika ama??
Afu umeanza lini kulalamika ati? Unaniaibisha bana ebu piga chini huyo. Akuuu mbona mnajitakia stress zisizokuwa na lazima????
 
Psheeeeeeeeeew!!!!!!! HUO UCHACHE WA WANAUME MNAOUONGELEA NI UPI HASWAAAAAAA?

POINT OF CORRECTION: Wanaume wa MAANA no wachache ila nyie free pumbu njoo nikupe bure, njoo tucheze friendly match kina Salu kwa mpemba, macha pale dukani, Zahiri kwenye m pesa, John wa bank, Tyron wa nssf, et al MBONA MKO KIBAOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!

Hivi wa dada kuna mtu kweli alisamua nataka mwanaume yeyote mradi ana kitu cha jicho moja akaosa kabisaaaaaaa? Hataaaa! Si bure atakuwa a hitilafu!

masizi....,umevurugwa wewe
 
Huyu jamaa inabidi ahamie CHINA ndiyo atajua radha ya chuingu ya kukataliwa.
China wanaume ni wengi kuliko wanwake.
Kufukuzia na kumpa demu ni karibu sawa na kuwin WORLD JACKPOT

Psheeeeeeeeeew!!!!!!! HUO UCHACHE WA WANAUME MNAOUONGELEA NI UPI HASWAAAAAAA?

POINT OF CORRECTION: Wanaume wa MAANA no wachache ila nyie free pumbu njoo nikupe bure, njoo tucheze friendly match kina Salu kwa mpemba, macha pale dukani, Zahiri kwenye m pesa, John wa bank, Tyron wa nssf, et al MBONA MKO KIBAOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!

Hivi wa dada kuna mtu kweli alisamua nataka mwanaume yeyote mradi ana kitu cha jicho moja akaosa kabisaaaaaaa? Hataaaa! Si bure atakuwa a hitilafu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom