Unajiskiaje labda we mwanamke ukifanya hivi?

Kufuatilia sana na kuchomolewa mara nyingi na dem kunaongeza quality of the product!

Nieleweke hivyo!
 
Unakatwa wewe!
Yaan ur talking as if 'we are one of ur properties' eti . .hamjui ninyi ni wengi kuliko sisi mara sirudi tena. Kwani ulitumwa kutongoza? Kwanza nahisi umemeliza Fm 4 mwaka huu unasubiri division 5.
Wanaume wakweli hawalalami na vibuti. Mambo mengine sio mpaka ufundishwe na Bi chau au zipompa!
 
Kusoma hujui hata picha huoni hutakiwi hapo usilazimishe penzi lisipokuwepo, tuko wengi kajaribu kwingine
 
Toka lini ngozi ya kitimoto ikawamba ngoma?
Subiri ukue wewe au tafuta ligi za mchangani ambazo ni proportional to urself and invest ur childish love.
 
Back
Top Bottom