Unajisikiaje

Ngo

JF-Expert Member
May 25, 2010
284
51
[video]http://www.the-coffee-cup.com/12855/koffi-olomide-law-cafe-mocha/[/video]

Wana jamii, Imeonekana siku hizi watu wengi si wake kwa waume, wengi wao wanaona kawaida tu kutoka nje ya mahusiano, hasa wana ndoa. Wewe mwanaume Unajisikiaje Kutoka Nje ya Ndoa yako? Unajisikiaje ukisikia mke wako naye ana mahusiano huko nje, Inakuuma? Kwa nini usiseme Ngoma kapa yakaisha? Wewe mwana dada, Una mumeo Ndani, Unajisikiaje Kwenda Kumvulia mwanaume mwingine Nguo na Unakuwa Uchi, Wakati Ulihadi Kuambatana naye katika shida na raha? Huwa watu wanasahau Ahadi/Viapo walivyoviweka Mbele ya Mwenyezi Mungu? Na kwa nini ukitoka hapo Unaenda Jumapili Kanisani Kusali na kuomba Msamaha wakati next week Unaenda tena kuiba Nje? Hiyo si rahana au?

Au uumbaji wa Mwenyezi Mungu ndo linakuwa tatizo hapa, watu kuona kitu kipya hata kama ni kibovu, wanasahau walicho nacho ni bora zaidi?:hungry::fish:
 
BULLS






A man took his wife to the Nairobi Trade Fare and one of the first exhibits they stopped at was the breeding bulls. They went up to the first pen and there was a sign attached that said,

'THIS BULL MATED 50 TIMES LAST YEAR'


The wife playfully nudged her husband in the ribs and said, 'He mated 50 times last year.'

They walked to the second pen which had a sign attached that said,
''THIS BULL MATED 150 TIMES LAST YEAR'



The wife gave her husband a healthy jab and said, 'That's more than twice a week! You could learn a lot from him.'

They walked to the third pen and it had a sign attached that said, in capital letters,










'THIS BULL MATED 365 TIMES LAST YEAR'



The wife, so excited that her elbow nearly broke her husband's ribs, said, 'that?s once a day. You could REALLY learn something from this one

The husband looked at her and whispered, 'Go over and ask him if it was with the same cow.'

 
Inauma pande zote kisikia mumeo au mkeo anatoka nje tena ukijua wazi kabisa tendo hilo si la maamuzi ya ghafla, yaani mtu utungoze/utongozwe kisha upate muda wa kufuatilia/kufuatiliwa hadi hatua ya mwisho kufanya tendo hilo. Kwa kweli ni kumuomba MUNGU maana ukumbuke dhambi si ya kuisema tu mdomoni bali kiukataa kwa matendo. Imani pasipo matendo imekufa na dhambi imepambwa sana vinginevyo hakuna mtu ambaye angekuwa anafanya dhambi.
 
My friend that is an evil spirit na unapoongozwa na roho ya uzinzi unakuwa mtumwa wa uzinzi na hata kama unajisikia vibaya baada ya kufanya uzinzi bado utaendelea kufanya. Dawa ni kumwamini Yesu na kuwa serious kuishi maisha yanayompendeza Mungu. Issue si tu kumwamini Yesu bali kuchukua uamuzi wa kutii Neno lake. There is always God's grace (enabling power) once such a firm decision is made.

1. AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA ANAFANYA JAMBO LITAKALOMWANGAMIZA NAFSI YAKE
2. ATENDAYE DHAMBI NI MTUMWA WA DHAMBI
 
Let us be who we are: how many of us enjoy same taste everyday/wk/month/year?!!. There r those moments you feal that another taste w'd lift ua ego and feal like some one new/strange. Is this not the reality?
 
Back
Top Bottom