MWANA WA UFALME
JF-Expert Member
- Sep 10, 2010
- 578
- 144
Zamani nilikuwa naheshimu mtu akiniambia yupo ccm japo nilikuwa upinzani ila kwasasa nikisikia hivyo nahisi mtu huyo atakuwa either anatatizo la psychology au ni njaa tu. Sijui wadau wengine
Jasiri na mwenye fikra pevu
Nyumbani kwangu nimeshapiga marufuku mtu yoyote mwenye Itikadi au mtazamo wa CCM kukanyaga.
Ole wake mwanaCCM yoyote atakayeleta pua kuingia nyumbani kwangu.
Unajibu kwa maamuzi yako mwenyewe au ni mateka wa kufikiri.
Jasiri na mwenye fikra pevu
mawazo yako potofu tuu nakuto kujua ndomana unasema hivyo...labda jasiri wa kuiba na mwenye fikra peku ya kuuwa
mtu akiniita CCM itakuwa ndio mwisho wa kuongea nae