Hivi kwa maneno aliyosema Pinda, alikuwa na haja gani ya kwenda kuona wagonjwa, siangesubiri wamtafutie mkanda wenyewe afurahie maana inaonekana watu kuumia ndio furaha yake. Hivi sheria inazungumziaje kuhusu matumizi ya nguvu dhidi ya mhalifu. Mimi najua sheria inasema usitumie nguvu zaidi ya ile mhalifu anatumia. Kama tukikubali hiyo label waliyowapa waandamaji (japokuwa tunajua wahalifu ni polic), je nguvu polic waliyotumia mbona ni kama ''kill in a cold blood), maana watu hawakuwa wanafanya fujo ila hao wanaosaidia wezi wa nchi hii ndio waliokuwa wanafanya fujo.