Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,105
- 18,005
Wigi = lack of confidence. Pia ni uchafu. Kuna wengine hata ndani ya nyumba wanavua tu baada ya kuzima taa!
Kheee angalau kwenye hili nimeokoka hakuna ninachofanya hapoNawaambiaga sana dada zangu kuwa mambo wanafanya wakidhani wanapendeza machoni kwa wanaume kumbe ndo wanatuchukiza mno
1.Kuvaa mawigi
2.Kucha bandia
3.Kope bandia
4.kujichubua
5.LIPSTICK
6.KUACHA MAPAJA WAZI
hivi vitu huwa vinanikera mno, sijui ni nani aliyewaambia wakiwa wasafi tu wa kawaida hawatongozwi
yaani hata marashi tu mtu anajipulizia utadhani anajiandaa kuzikwa ukikaa mita nne toka alipo tayari ushapata kipanda uso, warembo wa hivyo nakaa nao mbali kabisa
Wanaume wamejaa unafiki sana, hasa kama kuna kitu wanataka. Watakusifu sana kuwa wigi lako linekupendezesha, kumbe tu wanatamani maungo yako...Ila chakushangaza ukivaa wigi utasifiwa sana umependeza.....Tanzania.
Kwakweli yangekua yanakataliwa kote yangeshapunguaNiseme tu na nyuma ya keyboard muyachukie hivi hivi ili hao wavaaji wapungue ikiwezekana waishe kabisa.
Watakuwa wanakuchora tuIla chakushangaza ukivaa wigi utasifiwa sana umependeza.....Tanzania.
Hapana Watanzania tunatabia ya kufwata mkumbo akianza kuponda mmoja wote wataponda !Wanaume wamejaa unafiki sana, hasa kama kuna kitu wanataka. Watakusifu sana kuwa wigi lako linekupendezesha, kumbe tu wanatamani maungo yako...
Sio kweli watanzania wanafwata mkumbo.
Zikiwa ndefu zinachanika vizuri tu .....mwenyew ninazo ngumu kama katani ....natumia tu mafuta mazuri ya nywele zinachanika poaaaa
Hahahaha mawigi mtu unakuwa kama umechorwaSio kweli watanzania wanafwata mkumbo.
Hongera dada yangu usingewahiwa ningebook
Acheni kuwanunulia
Kumbe yana bei hvyo! Mi nlijua ni ktu kidichozidi 30k. Swali, je unalitambuaje kuwa hili ni la 500k?Wamekua brainwashed kwamba wanawake wenye nywele refu na laini ndio wazuri na wao wenye nywele ngumu za kipipili sio wazuri, mwanamke anapaswa kujiamini na kujikubali jinsi Mungu alivomuumba, kama mzuri ni mzuri tu, unaweza vaa wigi original la laki 5 na bado usivutie.
Mkuu wavaaji wenyewe hata hawasemi kituhumu natumai bado hawajausoma huu uziMmeleweka...wavaa wigs watajirekebisha...
Mkuu wavaaji wenyewe hata hawasemi kituhumu natumai bado hawajausoma huu uzi