Unajipaka mafuta gani mwilini?

Maryam
maryam-body-lotion.jpg
 
kwa wale ambao wanadhani ukitengeneza mafuta ya nazi kisha ukaweka mdalasini, hiliki, karafuu au kimoja wapo, eti utanukia kama pilau laa hasha!
Eti pilau🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️🤣🤣🤣🤣
 
diva fademilk mixed na clere cocoa butter..,niko na light skin soft wadada wanajigonga gonga tu wanafkir nina hela kumbe wese tu limekubal
 
unachanganya kwa ratio gani.itabidi niyatafute

Sent using Jamii Forums mobile app
tafuta diva fademilk ya chupa inauzwa elf kumi changanya na hyo clere cocoa butter...ili kuifanya inukie vizur alaf kuifanya iwe nying..kwa ratio mim naweka chupa moja ya diva kweny bakul alaf napima hyo clere kwa kutumia chupa ya diva hyo hyo yenyew naweka chupa mbil..napaka sana ucku..wiki tu ngoz utaona inanawili alaf hyo kitu haina madhara haina chemical za sumu zilizopigwa ban
 
Back
Top Bottom