Unajipaka mafuta gani mwilini?

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,558
45,829
Hebu wanaukumbi tushee hii kitu, hebu tuambizane. Je unatumia mafuta gani mwilini/lotion/cream? Unaogea sabuni gani?

Mimi kuanzia natumia lotion ya Ingram, naogea sabuni ya Pearl na mafuta ya nazi niliyotengeneza mwenyewe. Kila Jumapili natengeneza.
Matokeo nipo soft mpaka najitamani.

Wewe je?

NB: Natafuta foundation nzuri sijapata naombeni idea
 
Natumia haya....

1471968463062.jpg
 
Mimi napaka mafuta ya mbegu za nawese toka kyela anatengeneza nama yangu.kuhusu sabuni pia natumia zilozotengenezwa kwa mawese.nikikosa naogea sabuni ya mche yeyote.
Duuh! Una "aleji" kama mimi nini?

Me pia natumia sabuni hizo kama nikibadili ni dettol, kinyume na hapo ni majanga.

Mafuta ya nazi (nitangeneza mwenyewe, naweka na karafuu+mdalasini+hiliki)
 
Duuh! Una "aleji" kama mimi nini?

Me pia natumia sabuni hizo kama nikibadili ni dettol, kinyume na hapo ni majanga.

Mafuta ya nazi (nitangeneza mwenyewe, naweka na karafuu+mdalasini+hiliki)
mafuta ya nazi huwa unayawekeaje hvo vikorobwezo dear? mimi nayatumia tu hivohivo
 
Mtoa mada hujasema aina ya ngozi yako ili tujue foundation ipi yakufaa, ingawa kwa haraka haraka tu ni kua foundation nzuri ni zile kavu. Tatizo picha wanazingua ku-upload hawa jf ningekuwekea mfano.
 
Mtoa mada hujasema aina ya ngozi yako ili tujue foundation ipi yakufaa, ingawa kwa haraka haraka tu ni kua foundation nzuri ni zile kavu. Tatizo picha wanazingua ku-upload hawa jf ningekuwekea mfano.
ngozi yangu ni ya kawaida dear sio ya mafuta wala sio kavu
 
Back
Top Bottom