Unajipaka mafuta gani mwilini?

mgando vaselline

Kichwani napaka mafuta ya mnyonyo

Sabuni,ninatumia sabuni jamaa au kuku
 
Hebu wanaukumbi tushee hii kitu, hebu tuambizane. Je unatumia mafuta gani mwilini/lotion/cream? Unaogea sabuni gani?

Mimi kuanzia natumia lotion ya Ingram, naogea sabuni ya Pearl na mafuta ya nazi niliyotengeneza mwenyewe. Kila Jumapili natengeneza.
Matokeo nipo soft mpaka najitamani.

Wewe je?

NB: Natafuta foundation nzuri sijapata naombeni idea
ViPi na sisi tunaopaka mafuta ya kondomu tunakomenti hapa Hapa?
 
Nivea cocoa butter body cream original,from Germany,mafuta ya Nazi parachute from India,ngozi Ni fire......Ila umenitamanisha mafuta ya kupika mwenyewe
 
Utaweza kukabiliana na harufu yake maana nasikia mawese ina harufu kali sana sijui labda tuwaulize wenzetu wa west I mean Nigeria Ghana etc sio west kwa USA n.k
Kwanza mawese yanachafua nguo Ile rangi yake,na yananata vumbi kweli
 
Back
Top Bottom