Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
Afi we chimuga mjanja mjanja sana eengoja ntafute mwamvuli maake mvua inenyesha
Afi we chimuga mjanja mjanja sana eengoja ntafute mwamvuli maake mvua inenyesha
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Afi we chimuga mjanja mjanja sana ee
Sawa ahsanteVumilia shida za mwenzio maana hamkuzaliwa tumbo moja kila mtu anatatizo lake
AmenNi bora kuishi na nyoka katika nyumba ndogo, kuliko kuishi na mwanamke mwenye mdomo. Hayo ni maandiko matakatifu.
Napenda mwanamke mkimya.
Kwa kweli ana moyo sana.we nae una moyo wa kuishi na jitu kama hilo...me msichana ambae hayuko charming hata mazoea nae sitaki kabisa.
Mpaka sasa kavunja simu 5 there is no strong reason kwa nn amevunjaWatu wapole wengi huwa na hasira sana kwa sababu hawapendagi kuelezea hisia zao. Wanawake tunamaliza hasira zetu kwa kuongea sana. Huyo wako ipo siku atakuja kukufanyia kitu kibaya kwa sababu ukimuumiza huwa anajifanya kama she is okay ila she is hurt. Ningekua mimi ndo wewe nisingeweza kuwa na mtu asienionyesha husia zake. Kununa wote tunanuna ila hilo suala la ukimya linatisha.
Sasa huwa mnakaaje kama anafurahi dakika 5 nyingine zote mnuno mkuu?
Ninajitahid
Kinachofuata atakuvunja wewe mkuu. Kuwa makini.Mpaka sasa kavunja simu 5 there is no strong reason kwa nn amevunja
Umepotea sana mkuu. Pasaka njema.Wanawake walio wengi na haswa walio bahatika kupata Elimu kidogo kuanzia level ya Degree 1 wamekuwa na misimamo sana ila ukimpata huyo cha msingi ni kumuonyesha msimamo wako mapema kwa kadiri iwezekanavyo...Maana ukiyumba kidogo inakula kwako mazima...
Na ndo kashakuwa mke na sheria zetu izi mmhKinachofuata atakuvunja wewe mkuu. Kuwa makini.
Iwe njema na kwako pia BW...Karibu..Umepotea sana mkuu. Pasaka njema.
Binadamu yeyote unatakiwa kuelekezana tokea mwanzo umwelewe nawe akuelewe iinachotokea kuishi kwa kuigiza
Dogo mrudise demu wangu.
AsanteKweli kabisa mylove saint ivuga nayeye ndo ana nafasi ya kumbadilisha huyo mwanamke wake na si vinginevo