Riziki Mohammed
Senior Member
- Mar 4, 2017
- 118
- 205
Basi wacha yy akutreat sasa na usije tena kuomba ushauri.Brother how can i treat woman lk that?
Basi wacha yy akutreat sasa na usije tena kuomba ushauri.Brother how can i treat woman lk that?
Aaaah wapi wewe huna hayo matatizoduuuh mtu anaweza akaongea kitu ukajihisi kama anakusema ww vile
Sasa ww unanifundisha nimtese wacha nikae na maamuzi yanguBasi wacha yy akutreat sasa na usije tena kuomba ushauri.
najijua mwenyeweAaaah wapi wewe huna hayo matatizo
usikariri hivyoHeee sawa maana ninyi mkiamua hakuna wa kupinga maamuzi yenu
sawaNieleweshe basi
sizonjemadawa
Nasubirisawa
ntakuelewesha
hayaNasubiri
Kama unamtaka mi nipo. [emoji7] [emoji7] [emoji7]Namtaka wa hivyo aiseee
Poa mkuuSijamchoka mbona napenda changamoto anazonipa
Mpige mashine ya ukweli, ya ufundi. Lazima ataelewa!Habarini,
Kwa wale wenye uelewa wa saikolojia au uzoefu wa mahusiano bila kuangalia umri wako, ili mradi usiwe mario.
Ni mwanamke anayeonekana ana mawazo kila saa, anafurahi dk 5, anakaa kimya dk 20, ananuna dk 40, ana maamuzi ambayo hajali kama yatakuumiza au yatakufurahisha, ni mtu wa kusimamia misimamo yake bila kuangalia madhara yake, anachoamua hicho ndicho atakachokifanya hata kama utamwambia madhara ya hicho kitu.
Mtu ambaye hapendi kabisa kelele za aina zozote zile, ila ni mtu anayeonekana ana mapenzi ya kweli, japo ni msiri, ukimuuliza una tatizo gani anasema hana, anaamini mambo yake atayamaliza mwenyewe, akisema hapana basi hawezi badilisha hayo maneno, hachelewi kughairi na akighairi basi ujue imetoka hiyo, ni mkali, hapendi kwenda sehemu yoyote ya kufurahi (out) anapenda kukaa ndani tu muda wote, anapenda kukaa peke yake mda mwingi.
Ni msichana mzuri, kila mwanaume akimuona basi atampenda.
hatuwezi fanana binadamu siewenzio hawavipendi
Sumu gani mkuuOgopa sana watu walio kimya....wana sumu balaa