Unaishi vipi na mwanamke wa aina hii?

Unaishi vipi na mwanamke wa aina hii?

Habarini,

Kwa wale wenye uelewa wa saikolojia au uzoefu wa mahusiano bila kuangalia umri wako, ili mradi usiwe mario.

Ni mwanamke anayeonekana ana mawazo kila saa, anafurahi dk 5, anakaa kimya dk 20, ananuna dk 40, ana maamuzi ambayo hajali kama yatakuumiza au yatakufurahisha, ni mtu wa kusimamia misimamo yake bila kuangalia madhara yake, anachoamua hicho ndicho atakachokifanya hata kama utamwambia madhara ya hicho kitu.

Mtu ambaye hapendi kabisa kelele za aina zozote zile, ila ni mtu anayeonekana ana mapenzi ya kweli, japo ni msiri, ukimuuliza una tatizo gani anasema hana, anaamini mambo yake atayamaliza mwenyewe, akisema hapana basi hawezi badilisha hayo maneno, hachelewi kughairi na akighairi basi ujue imetoka hiyo, ni mkali, hapendi kwenda sehemu yoyote ya kufurahi (out) anapenda kukaa ndani tu muda wote, anapenda kukaa peke yake mda mwingi.

Ni msichana mzuri, kila mwanaume akimuona basi atampenda.
Mchawi huyo
 
Huyo anatatizo la kisaikolojia. Ana siri nzito moyoni. Mchunguze taratibu .anaweza kuua au kujiua bila sababu inayoeleweka.
 
Ukiona mwanamke wa aina hiyo ujue kama sio uzuri wake basi kajua weakness yako mkuu maybe unampenda sana ndio maana unakuta ata lifestyle anabadilisha anajiweka kununa sana ili apate kukuona uboya wako unapombembeleza na pia anajua akisema kitu uwezo wako ni mdogo wa kupinga na ata kama ukipinga basi utalegeza ndio maana anakuwa na nguvu ya kuwa na msimamo
Hii ni kweli kabisa asee
 
Habarini,

Kwa wale wenye uelewa wa saikolojia au uzoefu wa mahusiano bila kuangalia umri wako, ili mradi usiwe mario.

Ni mwanamke anayeonekana ana mawazo kila saa, anafurahi dk 5, anakaa kimya dk 20, ananuna dk 40, ana maamuzi ambayo hajali kama yatakuumiza au yatakufurahisha, ni mtu wa kusimamia misimamo yake bila kuangalia madhara yake, anachoamua hicho ndicho atakachokifanya hata kama utamwambia madhara ya hicho kitu.

Mtu ambaye hapendi kabisa kelele za aina zozote zile, ila ni mtu anayeonekana ana mapenzi ya kweli, japo ni msiri, ukimuuliza una tatizo gani anasema hana, anaamini mambo yake atayamaliza mwenyewe, akisema hapana basi hawezi badilisha hayo maneno, hachelewi kughairi na akighairi basi ujue imetoka hiyo, ni mkali, hapendi kwenda sehemu yoyote ya kufurahi (out) anapenda kukaa ndani tu muda wote, anapenda kukaa peke yake mda mwingi.

Ni msichana mzuri, kila mwanaume akimuona basi atampenda.
bado huja koleza, mpige dudu mpaka ataongea yote
 
Back
Top Bottom