Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Kipindi cha kusomana wakati mwingine mmojawapo anaweza kuficha makucha yake akijua analotakaIwe njema na kwako pia BW...Karibu..
Nakubaliana na wewe ndiyo maana kukawa na kipindi cha kusomana kabla ya kurasimisha uhusiano....