Unaishi vipi na mwanamke wa aina hii?

Unaishi vipi na mwanamke wa aina hii?

Duuuh mkuu na mm naishi ndani ya hii story ni maisha magum sana ninachoelewa kidogo wanawake kama hawa hua na msingi mmbovu wa mahusiano, either alishawahi kutendwa na mtu aliempenda na bado anampenda. Jaribu kuwa mpole na pia mchunguze kisiri siri, pekua cm yake kama ina passwrd fanya juu chini uijue utajua kila kitu kinachomsumbua. Mtu kama huyo kamwe hawezi kukuambia kinachomsumbua mpaka upate mwanga kwanza..., mimi binafsi ndo njia niliotumia nikajua kila kitu na atleast saiv kuna afadhali kidogo.
Pole sana mkuu...,
Ahsante mkuu kwa ushauri
 
Wewe unatakiwa uwe mpole na mnyenyekevu. Kubali na yaishi mapungufu yake. Usishindane nae utamwacha ukimpenda.
Kila siku tafuta mbinu ya kumfurahisha kuwa mbunifu, kaa nae karibu.
Nashukuru kwa ushauri
 
Ndo maana sisi...unapo fikia umri wa kuoa..unapewa Panga 3. Moja sebuleni..moja chumbani..nyingine ndani ya Gari....automatically utajua matumiz yake baada ya miezi 12 ya kwanza ndani ya ndoa
Yaani hii fasihi sijaielewa
 
Habarini,

Kwa wale wenye uelewa wa saikolojia au uzoefu wa mahusiano bila kuangalia umri wako, ili mradi usiwe mario.

Ni mwanamke anayeonekana ana mawazo kila saa, anafurahi dk 5, anakaa kimya dk 20, ananuna dk 40, ana maamuzi ambayo hajali kama yatakuumiza au yatakufurahisha, ni mtu wa kusimamia misimamo yake bila kuangalia madhara yake, anachoamua hicho ndicho atakachokifanya hata kama utamwambia madhara ya hicho kitu.

Mtu ambaye hapendi kabisa kelele za aina zozote zile, ila ni mtu anayeonekana ana mapenzi ya kweli, japo ni msiri, ukimuuliza una tatizo gani anasema hana, anaamini mambo yake atayamaliza mwenyewe, akisema hapana basi hawezi badilisha hayo maneno, hachelewi kughairi na akighairi basi ujue imetoka hiyo, ni mkali, hapendi kwenda sehemu yoyote ya kufurahi (out) anapenda kukaa ndani tu muda wote, anapenda kukaa peke yake mda mwingi.

Ni msichana mzuri, kila mwanaume akimuona basi atampenda.
Nataka mwanamke kama huyu.

This is good wife fella.
 
My wife has such characters 100% !!!
I don't know why? Sometimes watu wanahisi unamtesa and it used to pain me a lot. Ila nishaamua kwenda nae tu hivyo hivyo. Tuna miaka 14 sasa na watoto. Post yako imenigusa sana.
 
Miaka 14, brother nifuate nyayo zako tu kwa neema
 
Back
Top Bottom