Unaishi vipi na mwanamke wa aina hii?

Unaishi vipi na mwanamke wa aina hii?

That's my lady... Super dear... Talk to me yout man... Scream with happiness and emotions on top of me, kama ulivyofanya jana...

Let me pull your hair... Deka deka deka mpaka kila ukinyanyuka nakurudisha for another round...

Dahhhhhhhhhhh Smart911 we acha tu mylove jana ilikua balaa yani hatariiiiiiiiiiiiii
Ulinipa ukanipa tena ukanipa ukanipa tena ukanipa ukaniongeza mpaka hali yangu ikawa ngunguri dahhhhhhhhhh yani mi hoi chakariiiiii
Afu eti badae unanibembeleza menyewe eti poyeee poyeee mahondaw wangu ila Smart911 weeweee!!!!😛😛
 
Mkuu nahisi atakuwa na usonji ( msongo wa mawazo) kama sio sasa hivi amepitia mambo magumu na kutisha ktk maisha yake yanayompelekea kuwa na usonji!!! Kama tayari unaishi nae muone mtaalamu wa saikolojia amfanyie canceling, usipolitibu mapema kutokana na tabia yake ya usiri na ukimya unaweza kumkwaza bila ww kujua akaamua kujiua!!! Kuwa makini kidogo Mkuu!!!
Ahsante
 
Dahhhhhhhhhhh Smart911 we acha tu mylove jana ilikua balaa yani hatariiiiiiiiiiiiii
Ulinipa ukanipa tena ukanipa ukanipa tena ukanipa ukaniongeza mpaka hali yangu ikawa ngangari duhhhhhhhhhhh yani mi hoi chakariiiiii
Afu eti badae unanibembeleza menyewe eti poyeee poyeee mahondaw wangu ila Smart911 weeweee!!!!😛😛
Hahaha... Mpaka umeenda kujibana kwenye kona hutaki tena umechoka... Ila una pumzi mahondaw wangu... Yeah imebidi nikupe pole super dear... Sababu daah...

You are so sweet super dear... We enjoyed sana... Sana...
 
Nashukuru kwa ushauri
Poa, pia jitahidi kumfikisha kwenye kilele cha matamanio yake ya tendo la ndoa na utawale kikamilifu hisia za mkeo . Mwanaume kama hatekelezi vema jukumu hili Matokeo yake kwa mkewe hujionesha wazi kupitia
i. Hasira ii. Chuki iii. Dharau

Kila siku chukua nafasi yako kama mume wake hata kama ana kipato kukuzidi nawe jitutumue kumletea mahitaji yake na watoto wenu heshima itarudi tu. Usimwache ajifanyie kila kitu mwenyewe ataona mnalingana na kukuchukulia poa kama rafiki wa kawaida tu.

Jadiliana nae kuhusu kazi zake na mpongeze namshauri pia. Ongeza upendo watu wengine wamekulia katika mazingira ya upweke au kutopewa nafasi ya kupendwa hivyo mioyoni mwao kuna GAPE la upendo kama mwenza wake nae halitimizi humuona kama wale wale walomnyima upendo.

Pia tengeneza utamaduni wa kumsifia akifanya jambo zuri au kwa umbo lake hilo unalosema kila mwanaume angemtamani, leo msifie kwa kiungo hiki kesho kile hata kwa uongo ili mradi afurahi waridi wako. Akivaa nguo kuwa kiherehere kuwambia kama iko poa au la. Mapenzi yanahitaji kujitoa na kujishusha hata kama una cheo kikubwa kazini kwako kwake sahau kiko cheo.
Chati nae kwa network zake zote, mpigie simu hata kama huna cha kumwambia mwambia hata sweet nani yako tamu au nimekukumbuka basi atajiona ni mwenye kujaliwa na kupendwa
 
Poa, pia jitahidi kumfikisha kwenye kilele cha matamanio yake ya tendo la ndoa na utawale kikamilifu hisia za mkeo . Mwanaume kama hatekelezi vema jukumu hili Matokeo yake kwa mkewe hujionesha wazi kupitia
i. Hasira ii. Chuki iii. Dharau

Kila siku chukua nafasi yako kama mume wake hata kama ana kipato kukuzidi nawe jitutumue kumletea mahitaji yake na watoto wenu heshima itarudi tu. Usimwache ajifanyie kila kitu mwenyewe ataona mnalingana na kukuchukulia poa kama rafiki wa kawaida tu.
Jadiliana nae kuhusu kazi zake na mpongeze namshauri pia. Ongeza upendo watu wengine wamekulia katika mazingira ya upweke au kutopewa nafasi ya kupendwa hivyo mioyoni mwao kuna GAPE la upendo kama mwenza wake nae halitimizi humuona kama wale wale walomnyima upendo.
Ahsante kwa maneno ya busara
 
Huyo ana msongo wa mawazo kwan ni single matheri?na ni stress za mapenzi ndo mana mapenzi kwake ni unafiki na ubatili mtupu ila dawa yake mwambie hupendi hizo tabia akizingua mwambie asikutafute mpk akiamua kua serious na mapenzi yenu lengo hasa ni kumpima hilo gubu lake km ni personal issue au ni sababu hakupendi
 
Siyo single mother na ni msichana tu
 
Back
Top Bottom