Teenager?... Kwa hiyo wewe una ekspiriens ya mmoja tu, sio... aisee hujaenjoy maisha...
He he he, sio lazima. Nna fuso tatu na coaster 2.
Dah!!!!!!!
Sipati picha kama "neno" la kanisani alilisikia siku hiyo ....lol!!!!!!!!!!
Hizo nyingine umekuja kubeba njiani. Ubungo ndo huyo alipanda..
Hakulisikia hata kidogo
Alikuwa anawaza atoke haraka ili afuatilie ninaishi wapi, maana asingenifuatilia asingejua nakoishi.
Afu nime-edi kwenye post yangu ya kwanza, nimeweka nyama na maelezo yakutosha.
mi wala skumbuki hakyanan tena. Sa ntamkumbuka yupi?
nakumbuka tulikutana pale mbele ya soko kuu Bukoba mjini; alikuwa anatoka kwenye kambi ya Umiseta - Ihungo; yeye alikuwa anasoma Rugambwa Sekondari, mimi nilikuwa chuo; ninaye hadi leo na tayari tuna watoto; maisha yanakwenda;
nikifika home lazima nimuulize kama kweli naye anakumbuka.
I love mama watoto wangu.
Aisee...!!!mi wala skumbuki hakyanan tena. Sa ntamkumbuka yupi?
Kudadadeki .........
Ilikuwaje siku anakupiga vesi?
Uling'ataje vidole????
Sasa sijui nitoe exprience ya yupi...
Ngoja niwaze iliyokuwa poa zaidi...
Unajisikiaje sasa???????
Tunatoa historia ya aliyepo, sio marehemu wa mapenzini
Sinaga aibu kivile, ila nlikuwa nafurahia mastori yake
Hakunipiga verse from day 1, nilijikuta kanizoea sana, afu akaanza kuniita 'mke wangu' from no where, siku ya kwanza kuniita vile niliona aibu, nikadhani keshanijaza mimba kwa uwezo wa mdomo.
Wapo wanne...
Ukiendelea kusema uongo nakufungia sakrament ......!!!!!!!!