PLL
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 882
- 400
Ile siku sikuwa serious bana.......ye ndio Muzungu wangu
Bora maana nlipata mawazo sana mimi...Happy new year my dia
Ile siku sikuwa serious bana.......ye ndio Muzungu wangu
Mmmh!!
Sredi yako imefanya nikumbuke kibao cha huyu kijana wa miziki ya Bongo Flavor...kile cha Inaniuma Sana by Juma Nature
Si sana Patner .....sikuzid lakn wew....
Mekumic af naona umenchunia
Mkuu nimestuka sana
Nilidhani FREEMASON kumbe FREEPERSON ........lol!!!!!!!!!
nilimuona church mwanzo nilihisi huyu dada analinga sana nikakutana nae ktk ofic moja upanga then mtoko wa wa kwanza ilikua kempsk level eight
^^
Worry out, AM A FREE PERSON
FROM THEN to DATE
^^
Najua umenimic hyo kazi ni gia yako tu,lakin poa lakini nakuchek leoleo...ole uzingue...maana hapa nawaza 10percent tuhahaha mie na wasiwasi umenizidi bana....ah nikuchunie wapi bwana wakati wajua kabisa mie kwako nimeoza kabisa....uliniacha wewe kwenye makoroboi...maana ungeniacha kwenye mataa ningekuona lol. acha zako rudi basi partner in crime...kazi mpya imejitokeza
Najua umenimic hyo kazi ni gia yako tu,lakin poa lakini nakuchek leoleo...ole uzingue...maana hapa nawaza 10percent tu
Damn....
Nilikuwa nimeshaisahau hii....!!!!!!!!!!!
Himidini,can we start afresh?? :A S wink:
alaf siku yetu ya kwanza inaanzia hapa kwenye hii thread ya Eiyer..
Wako wangapi kwani??