Unaikumbuka hii siku ya kwanza..??

Eiyer unani disappoint kwann unasahausahau af mwanzo wa mwaka huu?hata week haijaisha tangu mwaka uanze...
Me sisahaugi kirahisi had my man hua ananishangaa maana naeza kukumbuka kitu cha miaka kibao imepita naye alisahau siku nying
Mambo mengi banaaaaa !!!!!!!!!!!!!!!!
 
 
Mimi alinipigia simu kuniita kwenye interview...nilipofika tukachelewa kidogo kuanza interview so nikawa ofisini kwake...dah nilipotoka nikakuta kaacha kimemo kwenye bag langu nimtafute jioni....

Hapo lazima ulipata ajira...
 
Haswa...

Yaliyopita si ndwele huwa tunaganga yajayo...

hahahahahahaha! pole sana watu8 jamani....mie mwenzako sitaki kukumbuka yaliyojiri kwa hao wa kabla ya huyu my husband...mi hupenda kukumbuka yaliyojiri nilipokutana kwa mara ya kwanza na huyu laaziz my husband tu....
 
Last edited by a moderator:
He he he, ilikuwa kanisani, and was just a teenager, hanijui simjui . . . .

Teenager?... Kwa hiyo wewe una ekspiriens ya mmoja tu, sio... aisee hujaenjoy maisha...
 
Mimi hubby wangu tulikuana nae katka gari toka mkoani kuja daslam....nlikua mekaa dirishan ile anaingía nikawa nmegongana nae macho,nkavutiwa nae...Mungu si athuman akaja kukaa katka seat pemben yangu,alnsalimia najifanya bury kumbe cna lolote,ahaa safar ndefu mbona tukazoeana..na the goodthng au bad thng n kua nlikua mgeni jijin sehemu ya kupandia daladala inanichanganya ckumwambia lakin tulivofka akanisindkiza mpaka napoenda...baada ya hapo n kuchat kwa sana kama marafik,badae urafk tupa kule and now we are here...
 
Himidini,can we start afresh?? :A S wink:
alaf siku yetu ya kwanza inaanzia hapa kwenye hii thread ya Eiyer..

Na mimi je??
Yaani muanzishe mambo kwenye siredi yangu hivi hivi??
 
 
Last edited by a moderator:
Bora umeamua kufunguka......
Hebu tuambie vipi kwenye first kiss ulijisikiaje??

First game je??
 
Last edited by a moderator:
He he he, zombie alinionea kanisani, sio kwamba alinitongozea kanisani lol

Dah!!!!!!!
Sipati picha kama "neno" la kanisani alilisikia siku hiyo ....lol!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…