G
Yani ugumu wake umemlazimisha akumbke yaleee yalotokea, japo kajibu lakin mmmmmh! Naogopa haya mambo ya divorce hata ctaman kabisa
Jesus saidia huyu mtu aiseee
Teh teh teh.
Umenena vyema. Huyu ni Paroka mtafuna wanakondoo.
Kuna nini...?????????
Hilo sio tatizo unaweza tu kuungama tu kama uko free....lol!!!!!!
Miaka minne iliyopita alikuja stationary kwetu, ndo alikuwa amemaliza advance anasubiria kwenda chuo, tulipendana tu tulivoonana nikawa nashinda stationary kila siku ili nimuone,ilichukua miezi 2 kuanzisha mahusiano. Mwaka na nusu sasa hatuko pamoja penzi lilivamiwa na mdudu.
hiv mnajua yupo parokia gani?
got u babe wa luck dube
well,
aliniona kituoni nikiwa narudi hom, alikuwa na marafiki zake, akawauliza km kuna anaenifaham kati ya wale marafiki zake hakuna aliyekuwa ananifaham,
basi kuna fundi 1 hiv wa nguo nilikuwa naongea nae coz niliacha nguo yangu pale ni njiani kutoka kituoni to hom, akasubur niondoke akamfuat na kumuomba no yangu....
anasema akawa anaogopa kunicol ataanzaje/ataongea nn...cku ya cku kanicol, nikamjib kwa ukali na maswali juu umeipata wap no yangu bt alikuwa mpole mwingine angeanipotezea, akaniambia naomba tuonane ndo utanifaham, hakuwa anaishi mbali sn, nikakubali huku nina ham sn ya kujua ni nan....
baada ya dkk 30 hamadi amefika nilipomuelekeza anikute....nilipomuona mi mwenyewe nilimkubali nikajisemea moyoni km yupo serious simuachii. .....
mhh baada ya salam/story kidogo coz alikuja na rafk ake ndo urafiki ukaanza hapo though @1st ckuonyesha km nipo interested. bt I was.....muda unavyoenda tukazoeana na anavyoni care ndo nikazama kabisa na cku 1 akaniambia anatamani niwe mkewe km nipo tayar......ndo hivyo tena.
im proud of him
....Mungu mkubwa ndo nipo nae na ndo Mume wangu mtarajiwa, soon cherekochereko mambo yakienda km yalivyopangwa
Babu hiyo inakufaaa....
Kivipi??Wewe ni baba upako wa ngono!
"Haya mambo" ni yapi?Haya mambo yesu alikufundisha??
Nimesema wapi napenda makalio makubwa?Unapenda makalio makubwa kwani wewe msodomi?