Unahitaji nini kutoka South Africa?

Unahitaji nini kutoka South Africa?

Solar panels za ARTSolar 550W mbili na Kunda Sumersible solar water pump ya 1hp.
 
Naomba lotion au mafuta wanayopaka wadada wa huko bondeni, make wana rangi flani ya maana sana......

Adress yangu nakupm jina uandike Eve
Kwa sasa bongo 99% vipodozi ni feki na siku ikija og ikafanya vizuri sokoni haiwezi kutoboa mwezi kabla haijavamiwa na mafonkong ikaotezwa kabisa nchi ya hovyo sana hii
Mwaka 2018 aina nyingi sana ya vipodozi ilikuwa haijafika bongo lakini kwa sasa ni vingi sana na vyote ni feki
 
Agiza huku boss.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom