Unahitaji nini kutoka South Africa?

Unahitaji nini kutoka South Africa?

Ushauri: Unaweza kuwa kweli wewe ni mfanyabiashara halali na sio tapeli, ila namna ulivyojinadi au kujitangaza hapa inaleta shaka. Yaani upo simple lakini haupo clear.

Huna jina rasmi la biashara au kampuni, barua pepe, anuani wala website. Unaelekeza tuu ya ofisi zipo, mara pale, mara huku, na namba ya simu yenye ya South.
Hutopata mtu namna hii, utaletewa comedy tuu hapa JF.
 
  • Jina la Bishara ni: GP logistics.
  • Website: tumia www.digxam.site
  • Email:gplogistcs.com
  • Namba za simu:whatspp +27-71821-9244
  • Ofice ni option kilakitu tunafanya online.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom