Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,558
- 31,966
Weka namba watu watakutafuta kupitia whatsappUnahitaji nini kutoa South Africa?
Weka namba watu watakutafuta kupitia whatsappUnahitaji nini kutoa South Africa?
Namkabidhi Ukuni tu. Sina mambo mengiUmkabidhi kisima cha mafuta ya magari.Hakika kila mwana JF atakuita shemela.
Dah!Kwa hiyo kuhusu bandari zetu tuandike hamna kitu hadi keshokutwa asubuhi?Namkabidhi Ukuni tu. Sina mambo mengi
Uncle agiza 😂Unatutumia zawadi?
Bandari zenu tunaendelea kuziendesha msiwe na shaka.Dah!Kwa hiyo kuhusu bandari zetu tuandike hamna kitu hadi keshokutwa asubuhi?
Lolote tu anakondaGari gani?
Safi sana,leta wateja mkuu tufanye kazi.Magari kama Range, landcruiser pickups, BMW series zote, Mazda zote za petrol na disiel, Suzuki Jimny za milango mitatu na milango mitano, ni wewe Tu na chaguzi zako
Shida yako ni namba au kuagiza?Weka namba watu watakutafuta kupitia whatsapp
Ungoja tuone wangapi watanipa kazi.Lakini original sound bars kama JBL , Samsung , Hisense , na kadhalika hupatikana vyema
demuUnahitaji nini kutoa South Africa?
Maana yake nini mnyakwibata?Bodysplash
Mfanyabiashara una makasiriko.nakurahisishia business unakuwa mkali. Mimi nipo CANADA sina cha kuagiza SA. Vyote napata huku kasoro tu mademu wa Kizulu. Hawa ndo nawamissShida yako ni namba au kuagiza?
how much is your budget?Mazda demio
Tena atulete wale wazu na wa xhosa...nasikia wao ngono kama maji vileDemu Mkali
Wapo wengi Canada,double check.Mfanyabiashara una makasiriko.nakurahisishia business unakuwa mkali. Mimi nipo CANADA sina cha kuagiza SA. Vyote napata huku kasoro tu mademu wa Kizulu. Hawa ndo nawamiss
Uturi turi🥰Maana yake nini mnyakwibata?
kwaiyo nifunge dangulo au?Tena atulete wale wazu na wa xhosa...nasikia wao ngono kama maji vile