Unahitaji nini kutoka South Africa?

Unahitaji nini kutoka South Africa?

Vitambaa vya kadeti na vitambaa vya jinsi ya dark green vinapatikana huko? Bei kwa jora ni kiasi gani?
 
Toa maelezo nyoofu ya kueleweka wengine hatuulizi ila tunapata majibu kupitia utakavyojibu wengine
Ukisema inategemea ndiyo nini sasa toa na mifano ya hicho kinachotegeme
Swali:Nikiagiza mzigo leo napata baada ya mda gani boss,mfano ukiagiza Motor Grader mchakato wa kulinunua na kulisafirisha hadi likufikie ni tofauti ukilinganisha na mtu alieagiza kioo cha simu, au betri ya Simu.

Kifupi inatageme aina ya mzigo na njia tutakazo zitumia kusafirisha mzigo wako.
 
lete mastori ya south huko...kwangu maswala ya kulipia bidhaa haya hapana...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom