Unahitaji kuwa Afisa Usalama? Give it a try

Unahitaji kuwa Afisa Usalama? Give it a try

Nahitaji kuwa kwani nafikiri naweza tena napenda sana kushiiriki katika ujenzi wa taifa letu nikiwa na nafasi yangu kama msomi wa ngazi wa uzamivu na ninayetembelea mataifa mbalimbali. Najihusisha na sayansi ya asili na huku kwa kweli kunahitaji usalama na uzalendo sana kwani watanzania wengi ikiwa ni pamoja na viongozi wa taifa hudanganywa na watu wasio wazalendo kuhusu mambo ya maslahi ya taifa. Tafadhali nijulishe nifanye nini niweze kutoa mchango wangu kupitia usalama wa taifa. 0686997270
red brigade watakuchukua,, ntakuunganisha nao ili wachukuapo nchi mwaka 2115 uwasaidie
 
Nahitaji kuwa kwani nafikiri naweza tena napenda sana kushiiriki katika ujenzi wa taifa letu nikiwa na nafasi yangu kama msomi wa ngazi wa uzamivu na ninayetembelea mataifa mbalimbali. Najihusisha na sayansi ya asili na huku kwa kweli kunahitaji usalama na uzalendo sana kwani watanzania wengi ikiwa ni pamoja na viongozi wa taifa hudanganywa na watu wasio wazalendo kuhusu mambo ya maslahi ya taifa. Tafadhali nijulishe nifanye nini niweze kutoa mchango wangu kupitia usalama wa taifa. 0686997270
Kwa nini unafikiri unaweza?

Je ni taarifa gani ulizokuwa nazo kuhusu tukio lolote lililotokea hivi karibuni ambazo unauhakika nazo?

Usalama wa taifa ni uwezo wa kukusanya taarifa za zenye ukakasi. Zilizopita na zitakazokuja zinazohatarisha usalama wa nchi.
 
Hata wewe huelewi! Hoja yangu ni kwamba sio big deal kuwa mwanausalama. Watu wengi hawayajui maisha ya wanausalama. Hawajui kuwa huwezi hata kudate au kuoa/olewa bila approval. Hawajui kuna siku unaweza kulazimika kufanya kitu tofauti na wito wako au ambacho sio cha kizalendo kwa vile tu wakubwa wako wa kazi ndivyo wanataka.

Kwa kifupi nawapa changamoto wahusika wawe relevant kama enzi zile za harakati za ukombozi.
Mkuu inaonekana kuna vitu vingi unavifahamu, najaribu kurefer kwenye series ya IRIS jamaa alipotumwa akafanye mauaji kwa Rais wa Korea Kaskazini, vip hapo naweza nikawa nimechangia in relevance kwa hicho ulichoongea kufanya kazi out of your willing???
 
Very good point!! This makes it much easier kuwa spotted kwa urahisi zaidi...

Na ukiwa na kampuni ya namma hii ni lazima "wakufahamu"
To comple te your ambition that demands you an extra ordinary comptence and creativity
Pia lazima ujue how domestic intelligence run in your country

Mnakubali waZo ni zuri lkn mtu kufika pale ni kazi na sio kwa pesa yake binafsi
Na lazima uwe jasusi Kwanza tena mtaalamu mwenye secret kund who can be loyal to you
Lkn si kwa Tanzania hii kwan hata kampuni za ulinzi zilizofanikiwa ziko chini ya wanajeshi au zinahifadhiwa na most of soldiers

Vikundi hivi tanzania vipo lkn viko chini ya taasisi na makampuni tanzu.

Na sidhan kama wataisajili kampuni hiyo huko brela
Or unless you do vicevecer
 
Nahitaji kuwa kwani nafikiri naweza tena napenda sana kushiiriki katika ujenzi wa taifa letu nikiwa na nafasi yangu kama msomi wa ngazi wa uzamivu na ninayetembelea mataifa mbalimbali. Najihusisha na sayansi ya asili na huku kwa kweli kunahitaji usalama na uzalendo sana kwani watanzania wengi ikiwa ni pamoja na viongozi wa taifa hudanganywa na watu wasio wazalendo kuhusu mambo ya maslahi ya taifa. Tafadhali nijulishe nifanye nini niweze kutoa mchango wangu kupitia usalama wa taifa. 0686997270
Unda kampuni ya tafiti na ushauri wa sayansi asili Tanzania
Utasaidia sana juu ya usalama wetu
 
hii ni kazi isiyo na shukrani hata kidogo kwahiyo kama mtu unawaza kuingia huko ili uingie kwenye vitabu vya kumbukumbu kwa mchango wako kwa taifa inabidi usahau.. ni kazi ambayo unapoteza kila kitu ili wananchi wengine wengi waishi kwa amani na furaha na hao hao ndo watakua wa kwanza kukusimanga jambo dogo linapoenda ndivyo sivyo. ni kama mdau mmoja hapa anaamini kumtolea bastola nape ndo kazi pekee wanayofanya usalama wa taifa!!.. ni wangapi wapo tayari kutoa michango hata ya maisha yao ila isitambuliwe wala kujulikana na watu wanaowasaidia?! kazi ambayo tokea unaianza unajua kabisa sponsor hatokupa msaada wowote, atakukana (plausible deniability) na utakua tayari kufa kuliko kuweka wazi uhusiano wako nae siku utakapoangukia kwenye mikono ya adui!! una infiltrate kikundi cha majambazi sugu wanaofanya organized crime, unaua nao watu, unafanya nao matukio ili wasikushtukie, unajua kabisa wakikushtukia tu ndo umeenda na maji na upo tayari.. acheni utani bana
Mmmm na lenyewe neno ...!!!
 
"Ni kazi ambayo maisha yako yanakuwa hatarini kila siku unayoishi!"Mwili ulikuwa unasisimka nilipokuwa nasoma bandiko lako The Bold.Sasa najua kwa nini Mungu aliniepusha na kazi hiyo,labda ningekuwa nimeshakufa.Nilikataa recruitment because I feared for my life!Asante the Bold,ume-comfirm what I have always believed about TISS. Nashukuru hata hivyo kwamba nime-contribute alot to my country in another area for a good almost 35 years.
Hongera sana mkuu... Hakika kuna namna nyingi za kuonyesha uzalendo wako zaidi ya kuwa kwenye vyombo vya usalama pekee...

Najua kuna kundi kubwa la vijana wanaotamani hiyo nafasi uliyoturn down ingeangukia kwao.
 
Mkuu The Bold siku uje na historia ya Russia hadi kufikia hatua ya kuwa taifa hasimu kwa marekani.
NB:ila usiegemee upande mkuu hahahah
Naona unahofia isije kuwa kama ile ya North Korea hahahaah
 
Mmmmmhmm!!!awapi kazi ya kutumwa na bashite? Sitaki..
 
Mimi nahitaji kuwa afisa usalama lakini sio kwa Tanzania hii. Hilo linawezekana vipi!?
 
Binafsi sioni ni kwanini watu wanataka kufanya kazi idara hii ya sasa. Wamefanya mambo gani ya kujivunia zaidi ya kulinda viongozi? Ni umaskini na ukosefu wa ajira tu ndo unaweza kumfanya mtu atamani kufanya kazi huko ili aje bar atutambie na kitambulisho chake cha 'bibi na bwana' huku Twiga wetu wanapanda ndege na watu wanauawa kama kuku huko Kibiti!
Majukumu yao ni pamoja na kukufanya wewe ubwatuke jf bila bughudha.

Unafikiri ungekuwa Sudan au Somalia ungepata hata muda wa kuropoka upuuzi kama huu mitandaoni.
 
Hahahaha!! Kuna nafasi ya uhariri gazeti la Sani
Bold hukugusia pia suala la mahusiano yako binafs pia ya jamii
Mahusiano hususan binafsi mara nyingi ni kikwazo kama yamepanuka
Asante
 
Bold hukugusia pia suala la mahusiano yako binafs pia ya jamii
Mahusiano hususan binafsi mara nyingi ni kikwazo kama yamepanuka
Asante
Asante kwa nyongeza mkuu...

Japokuwa pia kwa kadiri ninavyofahamu kwenye situation nyingi (especially kwenye kudevelop asset kwa kazi/muda maalumu) hili linaweza lisiangaliwe sana.
 
Majukumu yao ni pamoja na kukufanya wewe ubwatuke jf bila bughudha.

Unafikiri ungekuwa Sudan au Somalia ungepata hata muda wa kuropoka upuuzi kama huu mitandaoni.
Wewe wuss mimi sitishiwi, uhuru nilionao sijapewa bali nimezaliwa nao. Stop comparing our country to failed states like Somalia and Sudan.Pathetic!!
 
Back
Top Bottom