mwayungi
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,814
- 3,084
Eeeh,,,,,sawa notedAisee , lengo lako nini?! Unataka watu waache kuonyesha uzalendo kwa nchi yao, kisa wanaweza kuwa asset? Wakati huo unasisitiza kuwa asset ni kuishi 'kwa wasiwasi '!?
Mimi, mkuu usinitishe, nitaendelea kuwa mzalendo kwa nchi yangu Tanzania kwa uwazi bila woga.
======
Mkuu isome post yangu hii kwa taratibu utaelewa vizuri wapi pa kurekebisha kwenye post namba moja ya uzi huu. Vinginevyo, uzi "una kwenda na muda "