Unahitaji kuwa Afisa Usalama? Give it a try

Unahitaji kuwa Afisa Usalama? Give it a try

Matapeli hawachelewi kuja.....nahisi hio kazi ni ya waledi sio ya kujivunia kama wanahisi watu wengi .....ni kama kazi ya uwalimu,kujitolea japo kunamshahara .....kikubwa uadilifu eti
 
Uadilifu...... Hahahahaha

Labda kipindi cha mwalimu

Siku hizi ni connection ndio ina determine, na mara nyingi ni connection ya kifamilia
Matapeli hawachelewi kuja.....nahisi hio kazi ni ya waledi sio ya kujivunia kama wanahisi watu wengi .....ni kama kazi ya uwalimu,kujitolea japo kunamshahara .....kikubwa uadilifu eti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena vema mkuu, wanufaika wa TISS ni wale wapigaji enzi za ‘unanijua mi nani’... watu kama mleta mada ndo wanapigwa kwa kuwashobokea.
Kabisa mkuu hizo za unajua mimi ni nani au subiri nikuonyeshe,ndio style wanayofanya kina ANDAKAVA Ole Sabaya na Bashite kuwapiga fedha wafanyabiashara....stye hiyo hiyo enzi za JK ndio Teeth walikuwa wanatumia kuwaliza/kuwapiga watu mipunga.
 
Yes, enzi za JK walikua na pesa nyingi mno na fedha zao huwa wanapata za kimagendo, I mean kwa kuwatishia wafanyabiashara wakubwa wa nchini kuwa watawaandikia ripoti mbaya but all in all ni wizi kama wizi wingine tu, so wengi wao walijenga kwa mgongo huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
100% True walipata fedha kimagumashi tu kwa kutumia Makonda Style au Ole Sabaya Style.
 
Uadilifu...... Hahahahaha

Labda kipindi cha mwalimu

Siku hizi ni connection ndio ina determine, na mara nyingi ni connection ya kifamilia

Sent using Jamii Forums mobile app
Connection tu mkuu ndio maana kuna "Mabumunda" mengine yapo TEETH hayana maadili yakishalewa yanaanza kutoa bastola na vitambulisho au yakishaona mademu yanaanza "MISIFA's CAMP" ya kujimwambafy.
 
1.kuna wanaosema unaweza kuwa spotted na kuwa recruited toka ukiwa mdogo kwa maana shule ya msingi au sekondari ukweli wa hili upoje?

2. Na vipi ikiwa hukupata fursa hiyo ukiwa mdogo lkn wakagundua kuwa wewe i potential ukiwa umri umeenda say 40 yrs and above?

3. Je unaweza kutumiwa na idara hii bila mwenyewe kujifahamu?..yaani unaweza kuwa nao na kuwafanyia kazi bila mwenyewe kujijua?
Kuna dogo (Mvulana) yupo 1st year Mzumbe 2019/20, div 1 form four na form six, anasoma IT, ni mtu wa dojo sana,Mchamungu, ananidhamu ya hali ya juu sana, wazazi wake wote ni wa TZ wa mikoa ya kati ya TZ. anapenda sana kufanya kazi hii.

Kama kuna muhusika humu anayeweza kumsaidia, ani PM nimtumie namba yake.
Kwa hakika taifa halitojutia kumtumia.
 
D

[/QUO
Kuna dogo (Mvulana) yupo 1st year Mzumbe 2019/20, div 1 form four na form six, anasoma IT, ni mtu wa dojo sana,Mchamungu, ananidhamu ya hali ya juu sana, wazazi wake wote ni wa TZ wa mikoa ya kati ya TZ. anapenda sana kufanya kazi hii. Oky watapita

Kama kuna muhusika humu anayeweza kumsaidia, ani PM nimtumie namba yake.
Kwa hakika taifa halitojutia kumtumia.
unamaanisha dojo ?mcheza karate huyo?.......umetaja. Mahala husika mmmm....
 
Imekuwa rahisi kila mtu kujiunga dah kipindi kile najiunga nilipata taabu kweli na Kama mtu sio mvumilivu palikuwa panakushinda humu.

Ila siku hizi naona wanajiunga mpaka watoto, majambazi, mashoga, wasagaji, wapumbavu na malofa aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani zamani ilikua unaweza kaa miaka miwili kama mpenzi mtazamaji tu[emoji2].
Kila ukirequest Id inakataa nikaja kubahatisha siku 1 nikaandika umri mkubwa ndio ikakubali
Punguza kufunguka. Kuwa na kifua.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]Kweli kuna secret na confidential
 
Uslam wa taifa wa hapa huwa wanajitambulisha kabisa ni aibu

GunFire
 
Back
Top Bottom