Kanyigoboy
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 529
- 1,318
Aliekuambia anataka iyo kazi nani ?Habarini wakuu.
TISS huanza kurecruit safu yake kwa vijana wakiwa na umri mdogo sana. But ukiwa kati ya miaka 20 mpk 25 lazima ujijue , ujulikane na ujue majukumu ya kazi yako.
Ukiona upo upo tu mpaka 25 years , jua kwamba wewe haupo huko , hufai na hautakuja kufaa. Wewe ni rejected material.
Huwezi kupelekwa huko wakati brain yako ishaharibiwa na ugumu wa maisha na harakati za kijinga huko mtaani ; maulevi , ukahaba , usela mwingi , tabia mbaya na mropokaji usiye na hekima na kazi.
Hivyo we pambana kivingine tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe jizungumzie mwenyewe uko
Sent using Jamii Forums mobile app