Unahitaji kuwa Afisa Usalama? Give it a try

Unahitaji kuwa Afisa Usalama? Give it a try

Sawa ila jua tu sio kila mtu ana maisha magumu. Kuna watu hata hawaijui hiyo TISS and they are living their best life, usikariri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ngumu kumlazimisha mtu aamini unachosema upo sahihi kwa 100%. Most of them wanaishi maisha ya kawaida sana. Sio kazi nzuri mtu kutamani kuifanya, hauna uhuru ktk maisha yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mjinga pekee anaweza kufikiria TISS kuna maisha ‘mazuri’.
TEETH wenye maisha mazuri ni wapigaji,matapeli,wezi kwa kutumia mwamvuli huo,miaka ya JK walitusua sana ila kwasasa TEETH hawana kitu maana ANKALI naye ana TEETH wake wa kuwachunguza TEETH wa awamu ya nne hivyo nao wanaogopa kupiga!!.

Ukiwa TEETH roho mkononi muda wowote unakutwa kwenye MTARO unaelea.
 
Habarini wakuu.

TISS huanza kurecruit safu yake kwa vijana wakiwa na umri mdogo sana. But ukiwa kati ya miaka 20 mpk 25 lazima ujijue , ujulikane na ujue majukumu ya kazi yako.

Ukiona upo upo tu mpaka 25 years , jua kwamba wewe haupo huko , hufai na hautakuja kufaa. Wewe ni rejected material.

Huwezi kupelekwa huko wakati brain yako ishaharibiwa na ugumu wa maisha na harakati za kijinga huko mtaani ; maulevi , ukahaba , usela mwingi , tabia mbaya na mropokaji usiye na hekima na kazi.

Hivyo we pambana kivingine tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Kwan TISS ndo ufalme wa mbinguni au ndo kazi ilobakia tu.Sion hata maana ya kutukuza vtu vngne ambavyo havina maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyekwambia
Habarini wakuu.

TISS huanza kurecruit safu yake kwa vijana wakiwa na umri mdogo sana. But ukiwa kati ya miaka 20 mpk 25 lazima ujijue , ujulikane na ujue majukumu ya kazi yako.

Ukiona upo upo tu mpaka 25 years , jua kwamba wewe haupo huko , hufai na hautakuja kufaa. Wewe ni rejected material.

Huwezi kupelekwa huko wakati brain yako ishaharibiwa na ugumu wa maisha na harakati za kijinga huko mtaani ; maulevi , ukahaba , usela mwingi , tabia mbaya na mropokaji usiye na hekima na kazi.

Hivyo we pambana kivingine tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Aliyekwambia kwamba wote walioko huko ni freshers ( first appointment) ni nani? Pole.
 
Hivi kuna mtu anahisi kuchaguliwa TISS ni bahati??
Mimi hata wakisema wananipa nini siwezi fanya hizo kazi ...
 
That means

Hata uwe na uwezo/ujuzi wa kipekee (mfano wa teknolojia) kiasi gani ukivuka miaka 24 hupati kazi TISS

Hata ukiwa unatokea kwenye system ya nchi Jirani/mpinzani na una information nyeti haupokelewi TISS

Wenzetu Marekani bila kujali umri wapo tayari kupokea Waarabu/Wachina as long as wame prove kuwa wa maarifa ya taarifa za nchi zao, sisi hatupo tayari kisa limit ya umri

Conclusion: Unatudanganya
Habarini wakuu.

TISS huanza kurecruit safu yake kwa vijana wakiwa na umri mdogo sana. But ukiwa kati ya miaka 20 mpk 25 lazima ujijue , ujulikane na ujue majukumu ya kazi yako.

Ukiona upo upo tu mpaka 25 years , jua kwamba wewe haupo huko , hufai na hautakuja kufaa. Wewe ni rejected material.

Huwezi kupelekwa huko wakati brain yako ishaharibiwa na ugumu wa maisha na harakati za kijinga huko mtaani ; maulevi , ukahaba , usela mwingi , tabia mbaya na mropokaji usiye na hekima na kazi.

Hivyo we pambana kivingine tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu huwa wanaongelea kuingia TISS kama ni kuingia peponi vile
Dogo una akili fupi.

Hujui lolote kuhusu hilo. Vyombo vya Usalama huwa vinaajiri kutokana na matakwa ya Idara ya Usalama kwa wakati husika.

Namna ya kuajiri huwa ni tofauti sana na sasa hivi, ndo maana hata JKT wanaenda kuchukua watu na wanachukua wengi tu kila mwaka.

Zile zama za kumchukua mtu tangu akiwa anasoma secondary haipo tena, haipo tena kwa sehemu kubwa kama zamani.

Na hii inatokana na utandawazi na kuponyoka kwa maadili, leo hii mtoto wa sekondary kuleak mambo yake ni kitu kidogo saana tofauti na zamani.

Kwa sasa Idara imejitahidi kila mahari kuweka watu wao, sana sana jeshini, polisi, mavyuoni n.k

Huwa huwa wanapendekeza majina kwenda kwa maafisa waandamizi, after that ndo vetting zinaanza, na sio wote pia wanafanyiwa vetting mpka kwenda majumbani kwao.

Kwahiyo wapo wanaoingia ktk hiyo Idara mpka wakiwa 28-32 pia inadepend na Idara inamtaka mtu gani wakati huo.

Harafu Mkuu usiishi maisha ya kukaririshwa, most of wanatamani watoke.

Hivi unajua ktk vyombo vya ulinzi na usalama hao watu hata hawapewi nafasi kubwa sana? Wanaopewa heshima kubwa ni jeshi, polisi na hao ndo wanafuata.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu kitu kingine wana maisha ya kawaida tu maana hata mshahara wao si mkubwa kivile.

I used to date this one guy kipindi cha nyuma, bila kuwa na visafari vya hapa na pale ni hakuna kitu sema ndio hivyo visafari wanavyosafiri na Raisi ndio wanapatiamo viposho vya kuja kusumbua watu mjini.

All in all TISs is overated.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom