Msakaa Jr
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,450
- 7,928
Tia neno mkuuSijui nitie neno hapa[emoji4]
Tia neno mkuuSijui nitie neno hapa[emoji4]
Fafanua zaidi mkuuFirst of all usalama wa taifa si jeshi. Ni taasisi. Lakin ndani yake ina paramilitary elements.
Kama ilivyo CIA. Ni shirika lakin si la kiraia. Ni shirika la upelelezi.Fafanua zaidi mkuu
Kabisa mkuuKama ilivyo CIA. Ni shirika lakin si la kiraia. Ni shirika la upelelezi.
TISS ni shirika la upelelezi, Ila ndani yake kuna paramilitary elements. Paramilitary element ni nini? Ni element za kijeshi ndani ya taasisi.. nikimaanisha kuwa ndani ya taasisi.. kuan vitengo maalumu ambavyo vinafanya kazi za kijeshi.
Wenzetu wanaziita direct action elements. Kazi zao kubwa.. ni kuteka, sabotage, ku provide ulinzi kwa viongozi wa nchi, assasinations, kushirikiana na vyombo vingine vya usalama pale panapohitajika intervation za kijeshi..
Waajiriwa katika vitengo hivi wanakuwa wana background za kijeshi.. former TPDF au member wa TPDF bado yuko jeshini.. ila wanamtumia kwa kazi maalumu.
Wengine ni makomando kutoka jeshini.. then huongezewa ujuzi zaidi .. field craft. Then wanakuwa deployed.
Aisee daaahKama ilivyo CIA. Ni shirika lakin si la kiraia. Ni shirika la upelelezi.
TISS ni shirika la upelelezi, Ila ndani yake kuna paramilitary elements. Paramilitary element ni nini? Ni element za kijeshi ndani ya taasisi.. nikimaanisha kuwa ndani ya taasisi.. kuan vitengo maalumu ambavyo vinafanya kazi za kijeshi.
Wenzetu wanaziita direct action elements. Kazi zao kubwa.. ni kuteka, sabotage, ku provide ulinzi kwa viongozi wa nchi, assasinations, kushirikiana na vyombo vingine vya usalama pale panapohitajika intervation za kijeshi..
Waajiriwa katika vitengo hivi wanakuwa wana background za kijeshi.. former TPDF au member wa TPDF bado yuko jeshini.. ila wanamtumia kwa kazi maalumu.
Wengine ni makomando kutoka jeshini.. then huongezewa ujuzi zaidi .. field craft. Then wanakuwa deployed.
Unachagua KWA tz hii uko unaingiaaa she wewe kama wwNaomba nimalizie kwa kusema Kila mtu anaweza kuwa afisa usalama hata asiyejua kusoma na kuandika hata mbowe hata makonda hata ww unayesoma huu uzi lengo ni wamiliki nchi kufanikisha malengo yao, sio ww uisadie nchi ,chagua moja ujiunge nao wakutumie ww ukidhi mahitaji yako au lengo ni nn hasa kutaka kuwa afisa think twice hutakuwa huru.
Ya mojawapo Ni ile wanayoitumia SHILAWADU kuwafatilia bongo muviKwa mwenye uelewa hivi Tanzania kuna private intelligence company?
Pale hamna intelligence inayotumika ule ni UDAKUYa mojawapo Ni ile wanayoitumia SHILAWADU kuwafatilia bongo muvi
Udaku Ni sehemu ya ujasusiPale hamna intelligence inayotumika ule ni UDAKU
Mwenzangu TISS n bahat c wote watskuwa huko..ukoo mzma wenu hmn hata mmoja yupo huko..its for heaven sentHivi kuna mtu anahisi kuchaguliwa TISS ni bahati??
Mimi hata wakisema wananipa nini siwezi fanya hizo kazi ...
NdioKwani lazima kwenda huko?
Ss hqpo umeongea nnYupo rafikiangu mmoja hapa "sipataji"
Kilasiku bia nanunua mimi na sazingine anakuwa na mwenzanke nawaangaliaaaa nasema hiiiii wacha niendelee na mishezangu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
😁Ila nafikiri hata malipo yao yako juu ndio maana vijana wengi wanatamani hiyo kazi sana