Unahitaji kuwa Afisa Usalama? Give it a try

Unahitaji kuwa Afisa Usalama? Give it a try

We haufai mpaka hapo,, kirahisi rahisi tu umeweka na mawasiliano yako hadharani
Hapana! Anaweza kufaa kwa kazi maalum ya myda mfupi lakini asijue kama ametumika then when mission completed akapewa kakazi kengine tu .
Ndiyo maana ya Usalama wa Taifa. Anaweza kupelekwa uwanja wa Taifa kuwa Meneja wa Uwanja , Atatoa taarifa za mapato za mechi za Yanga na Simba.
Anaweza kuambiwa aende shule fulani kujua idadi ya wanafunzi wavuta bange.
 
Habarini wakuu.

TISS huanza kurecruit safu yake kwa vijana wakiwa na umri mdogo sana. But ukiwa kati ya miaka 20 mpk 25 lazima ujijue , ujulikane na ujue majukumu ya kazi yako.

Ukiona upo upo tu mpaka 25 years , jua kwamba wewe haupo huko , hufai na hautakuja kufaa. Wewe ni rejected material.

Huwezi kupelekwa huko wakati brain yako ishaharibiwa na ugumu wa maisha na harakati za kijinga huko mtaani ; maulevi , ukahaba , usela mwingi , tabia mbaya na mropokaji usiye na hekima na kazi.


Hivyo we pambana kivingine tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo una akili fupi.

Hujui lolote kuhusu hilo. Vyombo vya Usalama huwa vinaajiri kutokana na matakwa ya Idara ya Usalama kwa wakati husika.

Namna ya kuajiri huwa ni tofauti sana na sasa hivi, ndo maana hata JKT wanaenda kuchukua watu na wanachukua wengi tu kila mwaka.

Zile zama za kumchukua mtu tangu akiwa anasoma secondary haipo tena, haipo tena kwa sehemu kubwa kama zamani.

Na hii inatokana na utandawazi na kuponyoka kwa maadili, leo hii mtoto wa sekondary kuleak mambo yake ni kitu kidogo saana tofauti na zamani.

Kwa sasa Idara imejitahidi kila mahari kuweka watu wao, sana sana jeshini, polisi, mavyuoni n.k

Huwa huwa wanapendekeza majina kwenda kwa maafisa waandamizi, after that ndo vetting zinaanza, na sio wote pia wanafanyiwa vetting mpka kwenda majumbani kwao.

Kwahiyo wapo wanaoingia ktk hiyo Idara mpka wakiwa 28-32 pia inadepend na Idara inamtaka mtu gani wakati huo.

Harafu Mkuu usiishi maisha ya kukaririshwa, most of wanatamani watoke.

Hivi unajua ktk vyombo vya ulinzi na usalama hao watu hata hawapewi nafasi kubwa sana? Wanaopewa heshima kubwa ni jeshi, polisi na hao ndo wanafuata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom