englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,207
Uvinza, Kigoma
Katavi? Poa tu. Acha uchokozi, hata hivyo ebu check hapa sampuli za mguu toka Katavi !!!
View attachment 97352
Huyu ni mchaga aliyekosa matunzo!
Hii kitu weka mbali na Kinana....huko Manyara na mikumi morogoro....
temea mate chini mkuu.kamwe huwezi kuta mchaga wa hivyo!!!!hao ndio walimu wenu wa usafi.zichange twende xmas ijayo nikakupe dada yangu akupe darasa la usafi