Unahisi huu mguu unapatikana mkoa gani.

Unahisi huu mguu unapatikana mkoa gani.

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
bo0oy
 
Bamba dyagile mwe mazii.


CC Lady doctor.
 
hayo mayeboyebo natavaliwa masaa ma2....kwishh
 
Huyu ni mchaga aliyekosa matunzo!

temea mate chini mkuu.kamwe huwezi kuta mchaga wa hivyo!!!!hao ndio walimu wenu wa usafi.zichange twende xmas ijayo nikakupe dada yangu akupe darasa la usafi
 
temea mate chini mkuu.kamwe huwezi kuta mchaga wa hivyo!!!!hao ndio walimu wenu wa usafi.zichange twende xmas ijayo nikakupe dada yangu akupe darasa la usafi

Nje au mpaka kunako? Maana wengi wao nje wanashine zama kunako sasa....
 
Back
Top Bottom