Matibabu ya Mguu kupinda

msakhara

JF-Expert Member
May 26, 2019
271
370
Habari wakuu...
Kuna mpwa wangu anamiaka miwili. Tangu ajifunze kutembea naona mguu mmoja anaunyanyua kwa tabu tofauti na mguu wa kushoto.
Tulienda naye ccbrt ili kumcheck, majibu yakaja ni kwa sababu ana flatfoot hivyo akashauriwa atumie viatu (shosoles ) zenye arch support.
Baadaye tukaenda kwenye kituo cha afya cha MAMA MKASI(baada ya ushauri wa majirani).
akamcheki physically akasema mifupa yake ni mikavu kutokana na chanjo alizopewa akiwa mtoto.
Tumepata dilemma, lipi linaweza kuwa chanzo cha hiyo defect?
Tunaweza itibu vipi?
Ni wapi tunaweza pata daktari wa uhakika wa jambo hilo kwa hapa dar es salaam?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom