Unahisi huu mguu unapatikana mkoa gani.

bo0oy

hiyo ngoma leka dutigite
 
Mguu huo ni wangu, na mimi siyo mkeo!!! Ukitaka ushahidi njoo na mkeo kijiji cha Kirando (wilaya ya Nkasi) wiki ijayo ninaendesha semina hapo ulinganishe na ujionee mwenywe.


Hapa nitashindwa kuja kwani niko mbali kidogo, ila kama ningekuwa karibu nisingekubali hilo. Naona kabisa guu la mke wangu na limebandikwa JF bila idhini yangu kulikoni? Ila nitakutafuta tu nishuhudie.
 
Mkulima wa jembe la mkono ambae mabadiliko kwake ni mwiko.
 
Yallah, mi hapo hoi kabisa, japo ule mguu mwingine si utashi wake, ni hali halisi ya mazingira anayoishi na kujipatia rizki, kuwa na ugwambala si kwamba unapenda, unaweza kukuta ni nje ya uwezo wa kibinadamu! Hatujafa hatujaumbika!

Katavi? Poa tu. Acha uchokozi, hata hivyo ebu check hapa sampuli za mguu toka Katavi !!!

View attachment 97352
 
Back
Top Bottom