Unaharibu uzuri wako

Unaharibu uzuri wako

we nawe embu toa mfumo dume hapa. ulevi ni noma kwa kila jinsia!!&
 
Na wengi huliwa wakishakunywa pombe wanachanganyiwa we anajikuta kaliwa na majuto juu
 
Obama mvuta sigara...wewe umuoni Michele ana baby face wakati mumewe keshajichokea...wakati madam ni mkubwa kwake...

Hmmm....Michelle kamzidi umri Obama? Una uhakika na hilo?

Halafu kama Obama anaonekana kachoka ni kwa sababu ya majukumu ya kazi yake.

Kama unafuatilia vizuri urais wa Marekani basi utakuwa unajua jinsi ulivyo stressful.

Predecessors wa Obama, G.w. na William Clinton wote walizeekea White House na vyombo vya habari mara nyingi huwa vina juxtapose picha za marais hao mwanzoni wakati wanaingia kwenye utawala na baadae ambapo wanaonekana kabisa stress za kazi yao zimewazeesha!
 
Vileo vingi vinazeesha...cheki Obama na Michelle utasema nani mkubwa....ukiendekeza pombe au sigara lazima sura ikushuke...

Kwa hiyo hili halina jinsia...mtu yeyote mlevi lazima azeeka kabla ya wakati...

Fact: Barack Obama kazaliwa August 4. 1961, hivyo ana miaka 53.

Fact: Michelle Obama kazaliwa January 17 1964, hivyo ana miaka 50.

Fact: Barack Obama kamzidi Michelle Obama kiumri!
 
thanks for correcting...lakini hata kwa age 53 Michelle atakuwa younger than Obama...Obama kachakaa kabla ya kuingia white house...ni chain smoker...nilisikia amefight hii habit na ameacha (kama kweli maana wnasemaga hivyo hivyo) ila impact haiwezi kufutika...

Hmmm...sikubaliani na wewe kabisa hapo.

Kuwa rais wa Marekani si mchezo. Kimsingi, kuwa rais wa Marekani ni kama kuwa rais wa dunia.

Ona hii video inayomwonyesha Obama kabla ya kuingia White na baada ya kuingia White House

Halafu ona hii video ya daktari akisema kwamba US presidents age faster than the rest of us!

Last edited by a moderator:
pombe tamu aiseeee ila inatakiwa tuwe makini tu
 
Hizo picha za before na after zinakuwaga very tricky... color za hizo picha ni tofauti ...ukiachia mvi uso ulishamshuka...

angalia vizuri makunyanzi kwenye macho na pembeni ya midomo yake..

Hmmm...sikubaliani na wewe kabisa hapo.

Kuwa rais wa Marekani si mchezo. Kimsingi, kuwa rais wa Marekani ni kama kuwa rais wa dunia.

Ona hii video inayomwonyesha Obama kabla ya kuingia White na baada ya kuingia White House

Halafu ona hii video ya daktari akisema kwamba US presidents age faster than the rest of us!

Last edited by a moderator:
Kunyweni, kodi iongezeke. Tunaishi kwa migongo ya walevi
 
Bora pombe sigara ndio balaa...maana kuna na kansa...

Kuna mshikaji anavuta vibaya mno...hapendi lakini kuacha hawezi...

Mbaya zaidi na binti yake pekee ambaye kwa sasa ni just 17 anavuta kama baba yake...
na anamwangalia tu... amwambie nini sasa na kaiga...
 
Mtuwache tunywe bia zishuke khaaaaaaa! Kunywa mnywe nyie tukinywa sie mineno inawatoka double double!

Inasemekana mwanamke akinywa bia p****** inatoa harufu mbayaaa...
Ndio maana wale uchumi mgogoro wanapiga savanna. .. walio vizuri ni mavodka matakila na manini nini sijui...
 
te te te...this could be very true...maana najaribu ku relate na jinsi mikojo ya walevi wa bia inavyonuka....hata wanaume wakiwa wamelewa kwa mtu kama si mlevi mwenzao wana ku put off ... wanakuwa na kaarufu everywhere...

Inasemekana mwanamke akinywa bia p****** inatoa harufu mbayaaa...
Ndio maana wale uchumi mgogoro wanapiga savanna. .. walio vizuri ni mavodka matakila na manini nini sijui...
 
te te te...this could be very true...maana najaribu ku relate na jinsi mikojo ya walevi wa bia inavyonuka....

Mi baada ya kupewa hiyo "fact" nilijaribu kukumbukia mapito yangu kadhaa nikaona kuna ukweli. Bia zinanukisha p...
BTW we ulinusa wapi mikojo ya wanywa bia nyumba kubwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom