Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,356
Hata mb hunuka...
Nooo...
Kwanza we ulinusa wap mikojo wa wanywa bia
Hata mb hunuka...
Nooo...
Kwanza we ulinusa wap mikojo wa wanywa bia
Sasa mbona unaanza kukana wakati nilidhani 'tuko' pamoja...
Umeshawai kushare washroom na mlevi wa bia?
Mikojo inakuwa na harufu kali yes..
Ila baada ya hapo mb inakuwa sawa. P... sasa!!!
Wewe unaongelea P kwakuwa ni Me...
Usikatae nikikwambia na mb hunuka...naongelea experience...
si kwamba inanuka forever...pindi mtu akiwa amelewa...
Mwanamke anakunywa pombe analewa yaani mpaka akiongea anaburuza maneno hata aeleweki, kwa kweli hata kama mzurije unajishusha kabisa.
Kunywa kidogo basi ukiona inatosha aanza kunywa maji. Yaani imefikia wakati eti mwanamke anamarafiki wa kiume wa kwenda bar kunywa pombe na huko bar anashindana na wanaume kunywa, mnaweza kusema mbona wanaume wanalewa.
Ni mwanaume na kamwe hawezi kua mwanamke. Hebu badilika basi mnajizeesha, unakutana na mdada utasema ana redeyes kumbe ni pombe ndo zimemwaribu.
Hata ngozi nayo inakakamaa, wakati mwingine mnazingizia vipodozi havijawapenda kumbe ni pombe.
Samahanini sana kama mtachukia.
Unadhani kuna mtu anapenda kulewa???
All starts from a single cup, then a bottle finally a crate.
Only a person deceiving him/herself will say "im only going for a single cup".