Unaharibu uzuri wako

Unaharibu uzuri wako

Kuna chalii alikuwaga na demu wake huyo anapeleka si mchezo, sasa siku moja tumeenda Chimbo moja Mbezi Beach mademu watatu na sisi tuko watatu, sasa tukawa tunashangaa jinsi wale watoto walivyokuwa wanatukimbiza kwenye kushusha kilevii (kipindi kile Chui Chui ndo kashika hatamu).

Wanaume kushindwa hatutaki halafu watoto ndo kwanza kama wanakunywa maji vile, mara saa 6, 7; saa nane wakasema tuhamie club, nikashukuru, kufika kule mwendo ule ule, mimi hata kuhesabu nikawa siwezi tena, nikiianza moja, mbili, tatu nakuwa sijui inafata ngapi, lakini watoto bado wamo tuu.

Nilikuja kujua hii ligi siiwezi nilipochokua chupa ya maji kwa mmoja wao nipunguze pombe, kumbe zile chupa walikuwa wanazuga ni maji wakati ni nyagi, nikachoka, bia tunakunywa sawa sawa na bado wana vichupa vya maji vyenye konyagi.

Siku ile hata sijui nilifikaje nyumbani aisee, na jamaa yetu alipata ajali alfajiri akitoka kuwapeleka wale maduu kwao, sijawahi tena kukaa na wale watoto na jamaa alikuja kuachana na yule demu.
 
[MENTION]ONTARIO [/MENTION] mwanamke ni mwanamke tu. Ingawa sisime waaume walewe chakari.

Yani mi inshort, walevi huwa siwaelewi kabisa yani.
Unakuta mbaba mzima anabugia chupa mpk elastic limit is exceeded, mwishoe ni kujikojolea.
Ashhhhh.
 
Preta haijalishi ni aina ipi, cha muimu ni kujua kipimo..ebu fikiri mwanamke yuko bar kalewa chakari hata maneno mengine huuelewi anaongea nini. Kunywa ile ya kuchangamka.

Dah.......basi ni shider.......wengine tukinywa mpaka tuvue nguo ndio turidhike.......hasa pale unapokunywa pombe aina ya koti........
 
Last edited by a moderator:
benteke well said wadada waina hiyo wapo mtu anakunywa pombe utafikiri anakunywa juice lol akitoka hapo ajielewe na ndio maana mda mwingine wanafanyiwa mambo ya ajabu.
Kwanini usinywe kwa afya tu pia inatosha
Unakunywa beer...
 
Last edited by a moderator:
Vileo vingi vinazeesha...cheki Obama na Michelle utasema nani mkubwa....ukiendekeza pombe au sigara lazima sura ikushuke...

Kwa hiyo hili halina jinsia...mtu yeyote mlevi lazima azeeka kabla ya wakati...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom