Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,123
- 4,026
I'm happy and I love my husband.
Good!!!!! Leo hatuelezei machungu humu, ni raha tuI'm happy and I love my husband.
Today we're stress free!Good!!!!! Leo hatuelezei machungu humu, ni raha tu
Nafurahia ndoa yangu tena mpaka najiuliza kwa nini sikua naye hapo kabla
Nina mume mashallah, siishi kuomba Allah ampe umri mrefu na atupe kila lenye heri
Imani yake, hofu ya Mungu aliyonayo, mkarim, mpole, muelewa, mcheshi na kila anionapo sina raha hufanya chochote at least nitabasam tu na hua napenda kumsikia kila anaposhukuru,"alhamdulillah, ya Allah kwa zawadi ya mke huyu" mie hapo ubavuni tabasam lote meno yote 32 nje kuona mume wangu anashukuru kua na mke kama mimi ni wazi ni chaguo lake
Raha sana mkiwa lenu ni moja, raha sanamiwa mnawaza mawazo ya kimaendeleo vile mnatoa mawazo kila mtu nakiri mume wangu namimi hatujakamilika lakini hua ananifanya nijione nimekamilika,
Ukifika ulaya "bathi na mimi "uthinithahau[emoji23]
Aiseee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naenda tu dyadya[emoji126][emoji126]..nshaskia mambo ya mamton na manyumba huko
😂😂😂Aiseee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazinifu utawajua tu watapeleka fikra kwenye uzinifu nakuidownload picha View attachment 1060195
wali nazi maharage nazi
Hongera sana madam....I wish you all the best Dada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana! Allah awadumishe and I hope some members hawatodhani kwamba unajionyesha au unajisifia.Nafurahia ndoa yangu tena mpaka najiuliza kwa nini sikua naye hapo kabla
Nina mume mashallah, siishi kuomba Allah ampe umri mrefu na atupe kila lenye heri
Imani yake, hofu ya Mungu aliyonayo, mkarim, mpole, muelewa, mcheshi na kila anionapo sina raha hufanya chochote at least nitabasam tu na hua napenda kumsikia kila anaposhukuru,"alhamdulillah, ya Allah kwa zawadi ya mke huyu" mie hapo ubavuni tabasam lote meno yote 32 nje kuona mume wangu anashukuru kua na mke kama mimi ni wazi ni chaguo lake
Raha sana mkiwa lenu ni moja, raha sanamiwa mnawaza mawazo ya kimaendeleo vile mnatoa mawazo kila mtu nakiri mume wangu namimi hatujakamilika lakini hua ananifanya nijione nimekamilika,
Hongera sana! Allah awadumishe and I hope some members hawatodhani kwamba unajionyesha au unajisifia.
Other ladies can learn from you maana ndoa sio kutia mkono kizani kama wengi wasemavyo.
Mkuu you are blessed, option aliyokupa ni kipimo tosha kwako...If I were you siwezi hata kuwaza mke wa pili ktk mazingira hayo.Nafurahia ndoa yangu vilivyo, I am one of the luckiest and happiest guy when we talk about relationship.
I met my wife when I was in form five and married her some 7 fucking years later. In between I met too many girls but she was special and unique. She is my sapphire (open and loud).
She is that religious, she knows her God and fear him as well. Yeye ni Lulu ambayo Niko tayari kufanya lolote lakini nisimpoteze. Haimaanishi kwamba ndio siongei na wadada wengine, NO! I do, big times but yeah my wife is special.
Nshawahi kuamka saa nane usiku nkamkuta kakaa kwenye mswala analia, nkajifanya kama nimelala maana moyo ulinishtuka sana. Kumuuliza baadae imekuwaje bibie ananiambia nimeona msg zako ulizokuwa unachat na flani, imeniuma sana mume wangu nkaamua niamke nimuombe Allah akulinde mume wangu. I cried a lot na kuomba msamaha tele tele.
Kutokana na kazi zetu tunalazimika kukaa mbali mbali kama 55kms hivi mpaka Friday ndio tunakuwa pamoja, kwa namna anavyonipenda na kunijali amenishauri mara kadhaa kwa nini nisioe mke wa pili ili nisipate tabu?? Well, it reached a point nkaona inafaa kuoa mke wa pili kwa sababu za kidini zaidi. Hapo kwenye kitafuta mke sasa, manungaembe watupu na naona Bora nsioe nisije nkamletea mke wangu zimwi ndani bureeee.
Amenichanganya, ananikanga roho, ndio maana nafanya nifanyalo kila end of year mtoto lazima nimpeleke mamtoni.
Acha niishie hapa hebu
Such strong words from a wonderful wife. Usije badilika tu, mpende mumeo na Allah awafanyie wepesi katika ndoa yenu.Wala sina sababu ya kujionesha na hata ingekua siyafrahii ningesema tu, shukran sana na aamyn inshallah
Wallah billah kuna muda namuuliza hivi hukua unaniona before ukahelewa namna hii jibu lake kubwa ni muda hua ananambia wakat ulikua bado sasa hivi ndio wakati sahihi sjawah kujutia kuolewa naye japo changamoto na kutoelewana hapa na pale huwepo haijaondoa mapenzi wala furaha ya kua na mwanaume sahihi na mume kuanzia duniani mpaka akhera inshallah kikubwa ni uvumilivu tu, kuyaishi na kutamezea madhaifu ya mwenzangu, kusikilizana kupendana kuthaminiana na kuzidi kumtumainia Allah
And I seek protection from God, waja mahasidi sana hahahahahahaahahh.Mkuu you are blessed, option aliyokupa ni kipimo tosha kwako...If I were you siwezi hata kuwaza mke wa pili ktk mazingira hayo.
Ulioa mtoto kutoka markaz nini ( joke)
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Ktk uzi kama huu kazi yetu ni kulike kizuri na kukosoa kibaya...tunajifanyaga tuna ma experience kibao hahaaaaMa-senior bachela haituhusu hii[emoji41]
Such strong words from a wonderful wife. Usije badilika tu, mpende mumeo na Allah awafanyie wepesi katika ndoa yenu.
See??? You have all the characteristics of a good wife.Na hayo ndio malipo yangu kwake, kumpenda kwa dhati ya moyo wangu huku nikimuombea Allah amfungulie milango ya rizki
Asante sanaa
Mkuu, without offence with such a wife hiyo 'misambwanda' ya nini sasa?And I seek protection from God, waja mahasidi sana hahahahahahaahahh.
Mkuu nlidhani utaniambia nifanye sunnah kuliko kuhangaika na misambwanda ya mjini (jokes).
Sheikh Markaz ya fuoni hiyo hahahaaja