Aiba
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 2,049
- 3,932
Duh jmn ila kuusu nguvu za kiume apime kisukari kama hana bc muulize kama anapiga punyeto kama hafanyi inawezekana ni tatizo la kisaikoloji au mkewe kamfanyia ivyo ila naisi hataki kuwa na wanawake sababu ya nguvu za kiume anaona kama unamuinjoy tu ila tiba zipo na nyingine ni nyepesi kabisa haiitaji ata kutumia pesa kuwa naye karibu mshauri Muende hospitali akapime kwanza kabla ya kutumia dawa za tiba mbadala pole sana mamynamuombea sana mpaka wakati mwengine nahisi Mungu alinileta kwake kwa kusudi fulani,kila nikitaka kumwacha moyo unakataa kabisa penzi langu kwake limejawa na huruma iliyopitiliza,kunawakati namtumia msg au nampigia wala hapokeagi kabisa simuyangu akiona nasumbua sana atajibu niko ofisini,lakini rafikiyake atanambia leo wala hajaamka kalala ndani siku ya 5 leo hajatoka,mimi naamini iko siku Mungu atamrudisha huyu bwana ktk ubinadamu na akisharudia ubinadamu mimi hata nikimwacha naamini nitaweza kustahmili mana atakuwa mzima mana hata nguvu za kiume hana ila naamini zitarudi tu,niko ktk mahusiano ya ajabu mno yasiyonipa furaha zaidi ya simanzi na uchungu wa kilasiku na bwana huyu hajali moyowake umetokea kuwachukia tu wanawake nahisi huwa akiniangalia ananiona walewale tu,naamini siku moja ataamani pana wanawake wanaopendwa kikweli pia ataamini kuwa yeye ni wa thamani na anaweza kupendwa tu pamoja na haliyake ya kudharaulishwa na mkewe siyo hoja kuwa yeye hastahili kupendwa wapo watakaompenda na kumheshimu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app