Unafurahia mahusiano yako?

Unafurahia mahusiano yako?

Ninafurahia sana maisha yangu ya ndoa, natumai na mwenzangu pia!

Nilijifunza kupitia mahusiano niliyopitia kabla, namshukuru na mzee wangu kuna siku alinipa neno lililonipa akili!! "Mke si sura wala umbo, tabia na hakikisha nafsi yako imemridhia haswa"

Nukatafuta mwanamke kichwa balaa, kwa elimu ya darasani nikiamini na mengine atakuwa kichwa pia! Sikukosea, kwanza hana mambo mengi, ana reasoning ya hali ya juu then anajua anakokwenda (kimaisha)!

Nikamjenga nilivyotaka, naenjoy maisha kwa kweli!! Lake langu na langu lake zaidi ya yote ndiye msela wangu namba mojà!!
 
CHEZA USHINDE MAMILIONI! Ni maswali ma5 tu yanayoweza kukupa ushindi wa sehemu ya Tsh 38,900,000 DROO ya saa7:30 MCHANA! Zawadi kemkem za hadi TASLIM Tsh 12,000,000 wiki hii. JIBU KUSANYA POINT NA USHINDE. Kepten wa Taifa Stars ni?A.Samatta B.Nyoni
 
To me, she is everything....
When I wanted to marry her in 2014 her family was against it. Hawakunitaka because I am black and they are arabs, i was a bank officer by then and i wasnf earning a lot but she stood firm and made it happen. Alikuwa tayari kugombana na yoyote ambae alikuwa akimwambia Relief hafai.

Her sister from UK once asked her, kwani huyo Relief ndio mwanamme peke yake??? Akamjibu katika dunia hii, yeah ndio mwanamme peke yake.

Ndoa ilikuwa na sasa mimi ndio mtoto bora kwa mama mkwe kuliko hata watoto wake. Hahaahhaa

Now she is not only my wife, but she is the mother of my kid (Abouy). Nilivyochanganyikiwa sasa, nimemjengea nyumba nzima na wanaonijua humu wanajua what I am talking about. Sio kujisifia but kuwapa hamasa vijana kwamba wanawake Bora bado wapi poleeeee.

By the way, mpaka nkampa zawadi ya nyumba ujue nilikuta kitu sealed kama alivyoahidi kitambo kile nimemtokea. Dont be surprised, she is only 29 years old.
RAHA NASKIA MIMI HUKU!
ahahahhahahahah MUNGU AWATUNZE ASEE!
 
Nafurahia ndoa yangu vilivyo, I am one of the luckiest and happiest guy when we talk about relationship.

I met my wife when I was in form five and married her some 7 fucking years later. In between I met too many girls but she was special and unique. She is my sapphire (open and loud).

She is that religious, she knows her God and fear him as well. Yeye ni Lulu ambayo Niko tayari kufanya lolote lakini nisimpoteze. Haimaanishi kwamba ndio siongei na wadada wengine, NO! I do, big times but yeah my wife is special.

Nshawahi kuamka saa nane usiku nkamkuta kakaa kwenye mswala analia, nkajifanya kama nimelala maana moyo ulinishtuka sana. Kumuuliza baadae imekuwaje bibie ananiambia nimeona msg zako ulizokuwa unachat na flani, imeniuma sana mume wangu nkaamua niamke nimuombe Allah akulinde mume wangu. I cried a lot na kuomba msamaha tele tele.

Kutokana na kazi zetu tunalazimika kukaa mbali mbali kama 55kms hivi mpaka Friday ndio tunakuwa pamoja, kwa namna anavyonipenda na kunijali amenishauri mara kadhaa kwa nini nisioe mke wa pili ili nisipate tabu?? Well, it reached a point nkaona inafaa kuoa mke wa pili kwa sababu za kidini zaidi. Hapo kwenye kitafuta mke sasa, manungaembe watupu na naona Bora nsioe nisije nkamletea mke wangu zimwi ndani bureeee.

Amenichanganya, ananikanga roho, ndio maana nafanya nifanyalo kila end of year mtoto lazima nimpeleke mamtoni.

Acha niishie hapa hebu
Chaiiiiiiiiii. Una bahati sana kupata mke kama huyo mkuu.. Mlindee na umpende zaidi na zaidi.
Ila usimuongezee mke tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninafurahia sana maisha yangu ya ndoa, natumai na mwenzangu pia!

Nilijifunza kupitia mahusiano niliyopitia kabla, namshukuru na mzee wangu kuna siku alinipa neno lililonipa akili!! "Mke si sura wala umbo, tabia na hakikisha nafsi yako imemridhia haswa"

Nukatafuta mwanamke kichwa balaa, kwa elimu ya darasani nikiamini na mengine atakuwa kichwa pia! Sikukosea, kwanza hana mambo mengi, ana reasoning ya hali ya juu then anajua anakokwenda (kimaisha)!

Nikamjenga nilivyotaka, naenjoy maisha kwa kweli!! Lake langu na langu lake zaidi ya yote ndiye msela wangu namba mojà!!
SAFIIII!
I looove it watu wakiwa bado wanayazungumza mapenzi kwa hisia hivi!
 
Back
Top Bottom