Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,096
Inbox ipi sasa au ndani ya boxer[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuambia uje inbox nije nikuoneshe ukagoma....
Inbox ipi sasa au ndani ya boxer[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuambia uje inbox nije nikuoneshe ukagoma....
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Inbox ipi sasa au ndani ya boxer[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera sana kakaNafurahia ndoa yangu vilivyo, I am one of the luckiest and happiest guy when we talk about relationship.
I met my wife when I was in form five and married her some 7 fucking years later. In between I met too many girls but she was special and unique. She is my sapphire (open and loud).
She is that religious, she knows her God and fear him as well. Yeye ni Lulu ambayo Niko tayari kufanya lolote lakini nisimpoteze. Haimaanishi kwamba ndio siongei na wadada wengine, NO! I do, big times but yeah my wife is special.
Nshawahi kuamka saa nane usiku nkamkuta kakaa kwenye mswala analia, nkajifanya kama nimelala maana moyo ulinishtuka sana. Kumuuliza baadae imekuwaje bibie ananiambia nimeona msg zako ulizokuwa unachat na flani, imeniuma sana mume wangu nkaamua niamke nimuombe Allah akulinde mume wangu. I cried a lot na kuomba msamaha tele tele.
Kutokana na kazi zetu tunalazimika kukaa mbali mbali kama 55kms hivi mpaka Friday ndio tunakuwa pamoja, kwa namna anavyonipenda na kunijali amenishauri mara kadhaa kwa nini nisioe mke wa pili ili nisipate tabu?? Well, it reached a point nkaona inafaa kuoa mke wa pili kwa sababu za kidini zaidi. Hapo kwenye kitafuta mke sasa, manungaembe watupu na naona Bora nsioe nisije nkamletea mke wangu zimwi ndani bureeee.
Amenichanganya, ananikanga roho, ndio maana nafanya nifanyalo kila end of year mtoto lazima nimpeleke mamtoni.
Acha niishie hapa hebu
Njoo apa we kizee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji124][emoji124][emoji124]SawaNjoo apa we kizee
Nimependa unavyomwelezea alivyo wa pekee, but hukatai ukweli kuwa una vimeo unajua unazingua lakini unajirekebisha na unawajibika kufanya awe na furaha!Nafurahia ndoa yangu vilivyo, I am one of the luckiest and happiest guy when we talk about relationship.
I met my wife when I was in form five and married her some 7 fucking years later. In between I met too many girls but she was special and unique. She is my sapphire (open and loud).
She is that religious, she knows her God and fear him as well. Yeye ni Lulu ambayo Niko tayari kufanya lolote lakini nisimpoteze. Haimaanishi kwamba ndio siongei na wadada wengine, NO! I do, big times but yeah my wife is special.
Nshawahi kuamka saa nane usiku nkamkuta kakaa kwenye mswala analia, nkajifanya kama nimelala maana moyo ulinishtuka sana. Kumuuliza baadae imekuwaje bibie ananiambia nimeona msg zako ulizokuwa unachat na flani, imeniuma sana mume wangu nkaamua niamke nimuombe Allah akulinde mume wangu. I cried a lot na kuomba msamaha tele tele.
Kutokana na kazi zetu tunalazimika kukaa mbali mbali kama 55kms hivi mpaka Friday ndio tunakuwa pamoja, kwa namna anavyonipenda na kunijali amenishauri mara kadhaa kwa nini nisioe mke wa pili ili nisipate tabu?? Well, it reached a point nkaona inafaa kuoa mke wa pili kwa sababu za kidini zaidi. Hapo kwenye kitafuta mke sasa, manungaembe watupu na naona Bora nsioe nisije nkamletea mke wangu zimwi ndani bureeee.
Amenichanganya, ananikanga roho, ndio maana nafanya nifanyalo kila end of year mtoto lazima nimpeleke mamtoni.
Acha niishie hapa hebu
Mkuu huu mchezo hauhitaji hasiraHongera sana kaka
Tutaku-promote muda si mrefu ili uondokane na Usenior, usijaliMa-senior bachela haituhusu hii[emoji41]
Hahaha stakki promotion,kuna rekodi nataka niivunje,.Tutaku-promote muda si mrefu ili uondokane na Usenior, usijali
[emoji23][emoji23][emoji23]dyadya...we ni spinsterMa-senior bachela haituhusu hii[emoji41]
Maana yake nini dyadyaa😅hata sijaelewa hapo🙈[emoji23][emoji23][emoji23]dyadya...we ni spinster
Poa poa, wakilisha vizuri MabachelaHahaha stakki promotion,kuna rekodi nataka niivunje,.
To me, she is everything....Nimependa unavyomwelezea alivyo wa pekee, but hukatai ukweli kuwa una vimeo unajua unazingua lakini unajirekebisha na unawajibika kufanya awe na furaha!
SAFI SANA!
HATULAZIMIKI KUWA WAKAMILIFU, (KWANZA HAYUPO MWANADAMU MKAMILIFU) ILI KUWA NA FURAHA KWENYE MAHUSIANO YETU!
Wewe senior bachelor??Ma-senior bachela haituhusu hii😎
Naam..!!!Wewe senior bachelor??
Bachelor sugu kwa wanawake ndo inaitwa hvyo[emoji23][emoji23]Maana yake nini dyadyaa[emoji28]hata sijaelewa hapo[emoji85]
Hebu fanya fanya basi vijana mbona wapo teleeeeNaam..!!!
Alaaa😂😂Bachelor sugu kwa wanawake ndo inaitwa hvyo[emoji23][emoji23]
Kwaiyo ndo unatuvutia manunganyembe tuje pm au sikuelew ujue[emoji23][emoji23][emoji23]To me, she is everything....
When I wanted to marry her in 2014 her family was against it. Hawakunitaka because I am black and they are arabs, i was a bank officer by then and i wasnf earning a lot but she stood firm and made it happen. Alikuwa tayari kugombana na yoyote ambae alikuwa akimwambia Relief hafai.
Her sister from UK once asked her, kwani huyo Relief ndio mwanamme peke yake??? Akamjibu katika dunia hii, yeah ndio mwanamme peke yake.
Ndoa ilikuwa na sasa mimi ndio mtoto bora kwa mama mkwe kuliko hata watoto wake. Hahaahhaa
Now she is not only my wife, but she is the mother of my kid (Abouy). Nilivyochanganyikiwa sasa, nimemjengea nyumba nzima na wanaonijua humu wanajua what I am talking about. Sio kujisifia but kuwapa hamasa vijana kwamba wanawake Bora bado wapi poleeeee.
By the way, mpaka nkampa zawadi ya nyumba ujue nilikuta kitu sealed kama alivyoahidi kitambo kile nimemtokea. Dont be surprised, she is only 29 years old.