Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Nakuelewa mkuu.Mkuu, without offence with such a wife hiyo 'misambwanda' ya nini sasa?
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Never late to learn mkuu
Nakuelewa mkuu.Mkuu, without offence with such a wife hiyo 'misambwanda' ya nini sasa?
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
See??? You have all the characteristics of a good wife.
You are the luckiest indeed. Hehehe bado natafakari what kinda woman akute next za mwanamke aende kukuombea! Man that wife Sapphire and beyond.Nafurahia ndoa yangu vilivyo, I am one of the luckiest and happiest guy when we talk about relationship.
I met my wife when I was in form five and married her some 7 fucking years later. In between I met too many girls but she was special and unique. She is my sapphire (open and loud).
She is that religious, she knows her God and fear him as well. Yeye ni Lulu ambayo Niko tayari kufanya lolote lakini nisimpoteze. Haimaanishi kwamba ndio siongei na wadada wengine, NO! I do, big times but yeah my wife is special.
Nshawahi kuamka saa nane usiku nkamkuta kakaa kwenye mswala analia, nkajifanya kama nimelala maana moyo ulinishtuka sana. Kumuuliza baadae imekuwaje bibie ananiambia nimeona msg zako ulizokuwa unachat na flani, imeniuma sana mume wangu nkaamua niamke nimuombe Allah akulinde mume wangu. I cried a lot na kuomba msamaha tele tele.
Kutokana na kazi zetu tunalazimika kukaa mbali mbali kama 55kms hivi mpaka Friday ndio tunakuwa pamoja, kwa namna anavyonipenda na kunijali amenishauri mara kadhaa kwa nini nisioe mke wa pili ili nisipate tabu?? Well, it reached a point nkaona inafaa kuoa mke wa pili kwa sababu za kidini zaidi. Hapo kwenye kitafuta mke sasa, manungaembe watupu na naona Bora nsioe nisije nkamletea mke wangu zimwi ndani bureeee.
Amenichanganya, ananikanga roho, ndio maana nafanya nifanyalo kila end of year mtoto lazima nimpeleke mamtoni.
Acha niishie hapa hebu
Thanks much! Good women are still out thereYou are the luckiest indeed. Hehehe bado natafakari what kinda woman akute next za mwanamke aende kukuombea! Man that wife Sapphire and beyond.
Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
I know...but rare is rare too! Hard to find.Thanks much! Good women are still out there
That's true though
Najutia kuingia kwenye mahusiano mpaka ikapelekea kupata mtoto na ntu mwenye matatizo rukuki mwenye wivu waajabu mwenye kiburi hasiekumbuka alikotoka!Unafurahia mahusiano yako na kimapenzi, Ndoa,Urafiki,Ama unajutia.????
Kama ndiyo kwa nini ?
Hapana kwa nini ?
Ninyi wenye mahusiano yaliyofanikiwa ni Mambo gani/Hatua mlizopitia mpaka kufurahia mahusiano yenu.
Mnaojutia mli/Mmekosea wapi mpaka mnajutia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafurahia mahusiano yako na kimapenzi, Ndoa,Urafiki,Ama unajutia.????
Kama ndiyo kwa nini ?
Hapana kwa nini ?
Ninyi wenye mahusiano yaliyofanikiwa ni Mambo gani/Hatua mlizopitia mpaka kufurahia mahusiano yenu.
Mnaojutia mli/Mmekosea wapi mpaka mnajutia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!!!mimi najutia niko na mwanaume aliyetendwa sana na mkewe,mke alikuwa malaya wa kutupwa,anafanywa mpaka na wafanyakazi wenzake na huyo bwana,akiwa mzazi wa miezi 3 tu halali ndani mtoto anamwachia dada wa kazi,mume siku akarudi home saa 8 usiku ghafla alikuwa safari kakuta mtoto anachemka homa hafai akamkimbiza hosp piga simu ya mke haipokelewi asubh mke kaamkia job saa 5 asbh ndo anacall back simu ya mumewe kumbe mume yuko hosp na mtoto,ni mengi alimfanyia mumewe huyu mwanamke hadi kumchomea mumewe nyumba saiv wameachana na mume aliachiwa watoto 2 wadogo akahangaika nao hadi sasa wanakua huyo mdogo ana miaka 4,yani huyu mwanaume kajeruhika moyoni yani hayupo romantic kabisa yuko kama mnyama najitahidi kurudisha moyowake awe kawaida lakini inakuwa vigumu mno,namvumilia coz nampenda sitomchoka naamini utafika wakati ataamini tena ktk kupendwa na atakuwa tayari kupokea penzi ninalompa,nashangaa nampendea nn ila basi tu ndo nishampenda hvyohvyo bure acha niangalie nione mwisho wake wallah huyu bwana hana jema hata moja kiujumla sifurahii kabisa kuwa nae ila moyo ndo ushaganda kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana Madam, lakini usikate tamaa katika juhudi uzifanyazo, usiache kumuombea piamimi najutia niko na mwanaume aliyetendwa sana na mkewe,mke alikuwa malaya wa kutupwa,anafanywa mpaka na wafanyakazi wenzake na huyo bwana,akiwa mzazi wa miezi 3 tu halali ndani mtoto anamwachia dada wa kazi,mume siku akarudi home saa 8 usiku ghafla alikuwa safari kakuta mtoto anachemka homa hafai akamkimbiza hosp piga simu ya mke haipokelewi asubh mke kaamkia job saa 5 asbh ndo anacall back simu ya mumewe kumbe mume yuko hosp na mtoto,ni mengi alimfanyia mumewe huyu mwanamke hadi kumchomea mumewe nyumba saiv wameachana na mume aliachiwa watoto 2 wadogo akahangaika nao hadi sasa wanakua huyo mdogo ana miaka 4,yani huyu mwanaume kajeruhika moyoni yani hayupo romantic kabisa yuko kama mnyama najitahidi kurudisha moyowake awe kawaida lakini inakuwa vigumu mno,namvumilia coz nampenda sitomchoka naamini utafika wakati ataamini tena ktk kupendwa na atakuwa tayari kupokea penzi ninalompa,nashangaa nampendea nn ila basi tu ndo nishampenda hvyohvyo bure acha niangalie nione mwisho wake wallah huyu bwana hana jema hata moja kiujumla sifurahii kabisa kuwa nae ila moyo ndo ushaganda kwake
Sent using Jamii Forums mobile app


mimi najutia niko na mwanaume aliyetendwa sana na mkewe,mke alikuwa malaya wa kutupwa,anafanywa mpaka na wafanyakazi wenzake na huyo bwana,akiwa mzazi wa miezi 3 tu halali ndani mtoto anamwachia dada wa kazi,mume siku akarudi home saa 8 usiku ghafla alikuwa safari kakuta mtoto anachemka homa hafai akamkimbiza hosp piga simu ya mke haipokelewi asubh mke kaamkia job saa 5 asbh ndo anacall back simu ya mumewe kumbe mume yuko hosp na mtoto,ni mengi alimfanyia mumewe huyu mwanamke hadi kumchomea mumewe nyumba saiv wameachana na mume aliachiwa watoto 2 wadogo akahangaika nao hadi sasa wanakua huyo mdogo ana miaka 4,yani huyu mwanaume kajeruhika moyoni yani hayupo romantic kabisa yuko kama mnyama najitahidi kurudisha moyowake awe kawaida lakini inakuwa vigumu mno,namvumilia coz nampenda sitomchoka naamini utafika wakati ataamini tena ktk kupendwa na atakuwa tayari kupokea penzi ninalompa,nashangaa nampendea nn ila basi tu ndo nishampenda hvyohvyo bure acha niangalie nione mwisho wake wallah huyu bwana hana jema hata moja kiujumla sifurahii kabisa kuwa nae ila moyo ndo ushaganda kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana Madam, lakini usikate tamaa katika juhudi uzifanyazo, usiache kumuombea pia![]()
Dah ningumu sana kukuelewa kama alikupata ww mapema baada ya kuachana na mke wake kama akukaa ata miaka miwili toka aachane naye ni rahisi kuamini wanawake wote mko kama mkewe na ni ngumu kuweka mapenzi kipaumbele tena maana anajua maumivu aliyoyapata na penzi lenu halitapata nafuu embu muache ni ngumu ila ili kufanya penzi lenu lichipue tena mpe nafasi na kujitathimini tna siku zote watu waliopitia maumivu kwa namna yoyote iwe udogoni au kwenye mapenzi ni watu wakurudisha yale waliyofanyiwa na ndyo wanajiisi nafsi zao zimetulia japo wengi hawapendi kufanya ivyoo wanaitaji kushauriwa sana kabla ya kujiingiza kwenye mapenzi nao jaribu kuachana naye ongea naye apate ushauri kabla ya kurudiana naye utajiumiza ww zaidi na yeye hatajali anaweza ata kukupiga ukajikuta unapata majeraha c yeye ila maumivu aliyoyapata nyuma kingine jaribu kujua jimbuko la mtu mambo mengi yanatolea nyuma yani kwa mama na baba au kwa mababu nyumamimi najutia niko na mwanaume aliyetendwa sana na mkewe,mke alikuwa malaya wa kutupwa,anafanywa mpaka na wafanyakazi wenzake na huyo bwana,akiwa mzazi wa miezi 3 tu halali ndani mtoto anamwachia dada wa kazi,mume siku akarudi home saa 8 usiku ghafla alikuwa safari kakuta mtoto anachemka homa hafai akamkimbiza hosp piga simu ya mke haipokelewi asubh mke kaamkia job saa 5 asbh ndo anacall back simu ya mumewe kumbe mume yuko hosp na mtoto,ni mengi alimfanyia mumewe huyu mwanamke hadi kumchomea mumewe nyumba saiv wameachana na mume aliachiwa watoto 2 wadogo akahangaika nao hadi sasa wanakua huyo mdogo ana miaka 4,yani huyu mwanaume kajeruhika moyoni yani hayupo romantic kabisa yuko kama mnyama najitahidi kurudisha moyowake awe kawaida lakini inakuwa vigumu mno,namvumilia coz nampenda sitomchoka naamini utafika wakati ataamini tena ktk kupendwa na atakuwa tayari kupokea penzi ninalompa,nashangaa nampendea nn ila basi tu ndo nishampenda hvyohvyo bure acha niangalie nione mwisho wake wallah huyu bwana hana jema hata moja kiujumla sifurahii kabisa kuwa nae ila moyo ndo ushaganda kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
nazingatia ushauri wako nami niliwahi kuwaza hili pia,acha nijitahidi mana maumivu ninayoyapata ktk mahusiano haya ni makubwa mno,ni kama ananilipia mimi kisasi kwa ubaya aliofanyiwa na mkewe ilhali mimi sikuwahi kumkosea kwa namna yoyoteDah ningumu sana kukuelewa kama alikupata ww mapema baada ya kuachana na mke wake kama akukaa ata miaka miwili toka aachane naye ni rahisi kuamini wanawake wote mko kama mkewe na ni ngumu kuweka mapenzi kipaumbele tena maana anajua maumivu aliyoyapata na penzi lenu halitapata nafuu embu muache ni ngumu ila ili kufanya penzi lenu lichipue tena mpe nafasi na kujitathimini tna siku zote watu waliopitia maumivu kwa namna yoyote iwe udogoni au kwenye mapenzi ni watu wakurudisha yale waliyofanyiwa na ndyo wanajiisi nafsi zao zimetulia japo wengi hawapendi kufanya ivyoo wanaitaji kushauriwa sana kabla ya kujiingiza kwenye mapenzi nao jaribu kuachana naye ongea naye apate ushauri kabla ya kurudiana naye utajiumiza ww zaidi na yeye hatajali anaweza ata kukupiga ukajikuta unapata majeraha c yeye ila maumivu aliyoyapata nyuma kingine jaribu kujua jimbuko la mtu mambo mengi yanatolea nyuma yani kwa mama na baba au kwa mababu nyuma
Jipende ww zaidi ukijipenda na kujidhamini utajua thamani yako Mungu akusaidie
Sent using Jamii Forums mobile app