Unafikiri kisasi cha Iran kitaelekezwa wapi?

Unafikiri kisasi cha Iran kitaelekezwa wapi?

Kwani Iran imeua wanajeshi wa kimarekani wangapi hapo mashariki ya kati kupitia mawakara wake?
Tena huyu ndugu yenu ndio atawapa kichapo
Screenshot_20200108-003322.jpeg
Screenshot_20200108-003426.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao US Ambao Kiuhalisia Kweli Wanauwezo MKUBWA Wakijeshi Walifanya Nini Wkat DRONE Yao Ilipotunguliwa

Au ndio walikua wanahofia kuwa wangeua watu 150 Kama Wangelipiza Kisasi [emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kulinganisha drone na uhai wa mtu tena mwenye heshima ya juu kama Soleimani, huyo jamaa alikuwa namba 2 kwa ushawishi huko Iran afu ndo unamlinganisha na drone, we unafikiri US angetungua drone ya Iran ingetokea taharuki kama ya kifo cha huyo mwamba?! au Iran alipotungua hiyo drone uliona wamarekani wameandamana?! Ujue tu kwamba marekani ingeua hata wanajeshi 10 wa kawaida wa Iran ingekuwa soo ndogo kuliko kumuua Soleimani mmoja. Ua pompeo afu Ayatollah ajitangaze ameidhinisha pompeo kuuwawa hapo ndo utajua kilichomtoa kanga manyoya!

kweli wewe hujawai toka kijijini kwenu, ati soleiman alikuwa wenye heshima, aki una uelewa mdogo sana wewe, huyu alikuwa gaidi mkubwa duniani, hata bin laden hamufiki, huyu jamaa ameua watu maelfu huku mashariki ya kati na kwingine duniani, jiulize alikuwa anafanya nini huko iraq na wakubwa wengine wa jeshi la iran???acha achomeke milele huko na rafiki yake shetani
 
acha ubish mkuu,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unatamani Utawala Uliopo Madarakani Wa IRAN Uanguke Ile Pole Sana Kwan US Walipotekwa Balozi Wao Hapo IRAN Walifanya Nn Nasheria Zakimataifa Zinasemaje Kuhusiana Na Ishu Zakibalozi ?!

US Ilitunguliwa DRONES Yake Mwaka Jana Iliingia Vitani [emoji23]

US Ilishushiwa DRONES Zake Nne Mwaka 2011 Ili Ingia Vitani ?!

UK Walikamatiwa MELI Yao Na Hao Hao IRAN Waliingia VITANI ?!

RUSSIA Waliua Rubani Wa RUSSIA RUSSIA Waliingia Vitani ?!

Zaidi Ya Askari Jeshi 200s wa US waliuawa Hapo LEBANON US wakaseama Kama IRAN Alihusika US Aliingia Vitani Na IRAN US Anasababu Ama Alikua Na Sababu Zaidi Ya 10s Zakuingia Vitani Na IRAN Nahajathubutu

Halaf Soleiman Hakua Uwanja Wavita Kwahio Jamaa wana Haki Yakuzika Kwanza Unapokua Uwanja Wavita Unategemea Kufa Kwa 99% Kuliko Kupona Kwahio Tunamaliza Vita Halaf Ndio Masuala Yakuzikana Yanakuja

Nyie Msha Ambiwa Kisasi Kitalipwa Wasi Wasi Wenu Nini Hem Tulizana Halaf Uzuri Wakisasi Sasa Hua Hakitegemei Muda Maalllum .

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu keyboard unayotumia ina vijinasaba vya herufi kubwa(Capital letters)?
 
kweli wewe hujawai toka kijijini kwenu, ati soleiman alikuwa wenye heshima, aki una uelewa mdogo sana wewe, huyu alikuwa gaidi mkubwa duniani, hata bin laden hamufiki, huyu jamaa ameua watu maelfu huku mashariki ya kati na kwingine duniani, jiulize alikuwa anafanya nini huko iraq na wakubwa wengine wa jeshi la iran???acha achomeke milele huko na rafiki yake shetani
Gaidi kwako kwa wa Iran ni shujaa, kumbuka hata Mandela alishawahi kuwa gaidi muda fulani ingawa kwa wasouth ni shujaa ingawa baadae akaja kuwa shujaa wa dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usipoteze muda na nchi za Kiislamu. Hawana uwezo,wanafiki na hawana umoja. Saudia atajielekeza Marekani na kuwatosa Waarabu wezake. R.I.P Gaddaf

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka UDINI unachujika kwenye ukabila na chimbuko muda mwingine Saudia ni mwarabu lakini Irani ni wapersian si waarabu lakini pia lazima ufahamu je Iran washia ndie wenye nguvu au wasuni hapo utapata kujua kwa nini nchi fulani itaungana na Marekani sisi tukiona nchi ipo mashariki ya kati tunajua ni waarabu tu
 
Iran has again warned regional dictators
If any country in Persian Gulf - #UAE #SaudiArabia and others allow US military installations to be used in any attack on Iran THOSE REGIMES WILL BE ENDED - They must pull back now
- Prof Mohamad Marandi
#AxisOfResistance #IranAttacks Nardeep Pujji on Twitter

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom