Unafikiri kisasi cha Iran kitaelekezwa wapi?

Unafikiri kisasi cha Iran kitaelekezwa wapi?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa naanza kuamini sana kwamba, ma ayatollah wameshindwa kuliendeleza lile Taifa, na hawataki kutoka madarakani hivyo wameamua kuwaraghai wananchi wake na mambo ya vita vita na vitisho dhidi ya USA.

Yaani ni kama kafanyavyo kajamaa na North Korea.

ndio maana the most prominent military man wao ni yule anayejihusisha na mauaji nje ya Taifa hilo kwa kisingio cha kupigania Taifa hilo na uislamu na bla bla nyingi sana.

lakini hii ya sasa itawaitia aibu. Ni lazima wajibu wapigo wasipojibu Raia wanaingia barabarani kuwaondoa madarakani.

you can not fool all the people all the time
Unatamani Utawala Uliopo Madarakani Wa IRAN Uanguke Ile Pole Sana Kwan US Walipotekwa Balozi Wao Hapo IRAN Walifanya Nn Nasheria Zakimataifa Zinasemaje Kuhusiana Na Ishu Zakibalozi ?!

US Ilitunguliwa DRONES Yake Mwaka Jana Iliingia Vitani [emoji23]

US Ilishushiwa DRONES Zake Nne Mwaka 2011 Ili Ingia Vitani ?!

UK Walikamatiwa MELI Yao Na Hao Hao IRAN Waliingia VITANI ?!

RUSSIA Waliua Rubani Wa RUSSIA RUSSIA Waliingia Vitani ?!

Zaidi Ya Askari Jeshi 200s wa US waliuawa Hapo LEBANON US wakaseama Kama IRAN Alihusika US Aliingia Vitani Na IRAN US Anasababu Ama Alikua Na Sababu Zaidi Ya 10s Zakuingia Vitani Na IRAN Nahajathubutu

Halaf Soleiman Hakua Uwanja Wavita Kwahio Jamaa wana Haki Yakuzika Kwanza Unapokua Uwanja Wavita Unategemea Kufa Kwa 99% Kuliko Kupona Kwahio Tunamaliza Vita Halaf Ndio Masuala Yakuzikana Yanakuja

Nyie Msha Ambiwa Kisasi Kitalipwa Wasi Wasi Wenu Nini Hem Tulizana Halaf Uzuri Wakisasi Sasa Hua Hakitegemei Muda Maalllum .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba Nikazie Hapa japokua Majamaa Hawapendi Kuusikia Ukweli Mchungu Kama Huu
Tatizo la hili sakata watu wanaendeshwa na muhemko na sio uhalisia wa mambo.
Siku zote suala la kuanzisha vita na taifa lingine sio jambo rahisi hata kidogo kama watu wanavyo fikiria.
Hata Iran alisha ifanyia marekani mambo ambayo yangeifanya kuingia vitani na Iran lakini marekani alijizuia kufanya hivyo.
Baada ya Iran kuidungua ndege ya kisasa ya kimarekani ikiwa kwenye anga la kimataifa kama marekani ilivyo dai huo ulikuwa ni uchokozi mkubwa ambao marekani ange utumia kuishambulia Iran lakini hakufanya hivyo.
Hivyo vita ni kati ya vita ngumu sana kwa pande zote mbili iwapo itatokea.
Mm nadhani Iran hatalipiza kisasi ambacho kitaingiza vitani na marekani itapiza kisasi katika wakati ambao itakuwa vigumu kuituumu moja kwa moja.
Ila US Alikua Nasababu Na Anasababu Zaidi Ya Mia Kuishambulia Iran ila hatakaa adhubutu

US c anadai IRAN Inafadhili Makundi Yakigaidi DUNIANI Sasa Inangojea Nn Kuisambaratisha IRAN Ili Isifadhili UGAIDI...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaoweza wakajibu kwa kukifunga hiki kichochoro
images%20(5).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unatamani Utawala Uliopo Madarakani Wa IRAN Uanguke Ile Pole Sana Kwan US Walipotekwa Balozi Wao Hapo IRAN Walifanya Nn Nasheria Zakimataifa Zinasemaje Kuhusiana Na Ishu Zakibalozi ?!

US Ilitunguliwa DRONES Yake Mwaka Jana Iliingia Vitani [emoji23]

US Ilishushiwa DRONES Zake Nne Mwaka 2011 Ili Ingia Vitani ?!

UK Walikamatiwa MELI Yao Na Hao Hao IRAN Waliingia VITANI ?!

RUSSIA Waliua Rubani Wa RUSSIA RUSSIA Waliingia Vitani ?!

Zaidi Ya Askari Jeshi 200s wa US waliuawa Hapo LEBANON US wakaseama Kama IRAN Alihusika US Aliingia Vitani Na IRAN US Anasababu Ama Alikua Na Sababu Zaidi Ya 10s Zakuingia Vitani Na IRAN Nahajathubutu

Halaf Soleiman Hakua Uwanja Wavita Kwahio Jamaa wana Haki Yakuzika Kwanza Unapokua Uwanja Wavita Unategemea Kufa Kwa 99% Kuliko Kupona Kwahio Tunamaliza Vita Halaf Ndio Masuala Yakuzikana Yanakuja

Nyie Msha Ambiwa Kisasi Kitalipwa Wasi Wasi Wenu Nini Hem Tulizana Halaf Uzuri Wakisasi Sasa Hua Hakitegemei Muda Maalllum .

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mm nashangaa wamekomaa na Iran alipize kisasi na akisha lipiza kisasi hawa tachelewa kuja humu kunwaga mapovu kuwaita wairaní magaidi.
 
Iran hatajaribu kufanya chochote, anajitutumua tu kwa maneno ili kutuma ujumbe kwa vikundi vya kigaidi kufanya lolote dhidi ya Marekani. Uwezo wa kivita wa Iran dhidi ya Marekani bado ni mdogo sana.
Hao US Ambao Kiuhalisia Kweli Wanauwezo MKUBWA Wakijeshi Walifanya Nini Wkat DRONE Yao Ilipotunguliwa

Au ndio walikua wanahofia kuwa wangeua watu 150 Kama Wangelipiza Kisasi [emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha Mkuu umepaniki. Teh teh teh halafu mnafananisha kuangushwa drone na Uhai wa mtu tena mtu mzito na tumainio wa Jeshi na Nchi,poleni sana.

Kwani Iran imeua wanajeshi wa kimarekani wangapi hapo mashariki ya kati kupitia mawakara wake?
 
Back
Top Bottom