Unafiki wa Waarabu wadhihirika duniani

Unafiki wa Waarabu wadhihirika duniani

Status
Not open for further replies.
Usiwe muongo mkuu. Hiyo sudani ya kusini unayoisemea huijui. Albashiri mwarabu ndiye aliyeua wasudani zaidi ya milioni 3 kwa lengo la kuwaua wote weusi wa kusini ili achukue ardhi Yao yenye utajiri wa mafuta. Ndiyo maana mpaka Leo kuna warrant ya kumkamata ya ICC. Mwarabu ni mnafiki pasee, usibabaike na kanzu na mabusu ya kinafiki.
nadhani ntakufundisha kidogo albashir anashtakiwa kwa ajili ya dafuur ambayo ni blue nile na kordofan, na siyo kwa ajili ya juba ambayo ni southern Sudan,na siwezi kubaika na kanzu ya mwarabu wala suti ya mzungu kwa sababu najielewa vizuri kama mwafrika.
 
Hivi jirani yako akikusababidhia matatizo kwenye ndoa yako utampelekea watoto wako ili awalee .........!!?
Swali zuri mkuu. Halafu waarabu wote matajiri duniani amekaa kimya. Sasa huu ndiyo upendo gani. Ndiyo maana nawachukia kwa unafiki wao.haijalishi kanzu yake ni nyeupe vipi. Ila ogopa sana mwarabu.ni aibu sana!
 
nadhani ntakufundisha kidogo albashir anashtakiwa kwa ajili ya dafuur ambayo ni blue nile na kordofan, na siyo kwa ajili ya juba ambayo ni southern Sudan,na siwezi kubaika na kanzu ya mwarabu wala suti ya mzungu kwa sababu najielewa vizuri kama mwafrika.
Kumbe John Garang alikuwa anapigana na popo!
 
Vita Maeneo Ya Waarabu Vimetokana Na Arab Spring Iliyoanzia Tunisia,Egypt...Hakuna Mkono Wa Mzungu.Kwa Kawaida Waarabu Wakiharibikiwa Hukimbilia Kulaumu Wazungu.Ni Wanafiki Na Wabinafsi Kwa Asili
 
Unajibu swali ambalo hujaulizwa, uliloulizwa hujajibu.

Sijauliza Europe inahitaji au haihitaji immigrants.

Nimeuliza, kwa nini Waislamu wanaowaita watu wengine makafiri, wao wanapigana vita, makafiri hawana vita, badala ya kukimbilia nchi zenye ustaarabu wa kiislamu, wanakimbilia kwa makafiri?

Mtu unakimbia na wake zako wanne, unaenda nchi ambayo hairuhusu myu kiwa na mke zaidi ya mmoja. Kwa nini usiende n hi yenyr kuruhusu habari zenu za wake wanne? Huo mfano mmoja tu.

Hungary wamesema hawataki wakimbizi wa kiislamu kwa sababu ya tofauti za kidini na utamaduni.

Hujajibu swali hili. Unakimbilia kuniwekea links za Europe needs immigrants. Hilo si swali nililouliza, nililouliza hujajibu.
Link http://www.newsweek.com/2015/04/03/new-exodus-christians-flee-isis-middle-east-316785.html
 
Ujio mwema na kwa HESHIMA zote, Kama lafudhi ya kiume itakuwepo kwa pande zote mbili basi ntaendela, Ila pakiwepo matusi basi ntastaafu!! (maana sote tuna ulimi pata huu.... washiriki wote walijue hilo)
Kuanzia masharika ya ardhi hii hadi Magharibi Wanaadamu wote tumeumbiwa kulitumia na kusambaa ndani yake!!
hAPA duniani Nchi za IRAQ na SYRIA ndo zilizopendelewa na Muumba wa kauni hii kwa kwapa CHIMBUKO na UZAWA wa dini kongwe..... Kawapendelea waarabu kwa kuwa LUGHA mama ambao hadi huku kwetu iliweza zaa kiswahili (hilo halina upingifu)
RasiliMali na Mtaji wa SYRIA na IRAQI hadi kufikia mda huu na wakati wa leo ilikuwa KUJITEGEMEA na KUJITOSHELEZA kiuchumi ndani ya nchi zao na KIULINZI ndani mwao...(Uliza vijana wenu waliyosoma na kuishi huko miaka ya 1970,80,90~2010 watawaambia) hadi hii leo wa SYIRIA na MaIraqi wanatumia MASHINA ,Magari,Mitmo ya 1940s kwani wanao uwezo wa kutengeneza vipuri (spares) na kuendeleza techno hizo bila kuhutaji misaada au biashara na Nchi za Magharibi.... Zaidi ni kuwa hawakutegemea uchumi wao kwa kuumia Dollari za kimarekani wala Euro za Ulaya!!

Hiyo pia ni moja ya sababu Nchi za Magharibi kuanzisha zengwe na FITINA juu ya IRAQ na SYRIA na mnyonge wao LIBYA...

Sasa Limenuka mzigo wa wakimbizi waubebe wa Magharibi!!! ulichokitaka wamekipata.....!!
Tupo tunaendelea kuona matokeo ....!!

hivi waarabu hawawezi kukaa pamoja na kufanya mambo yao bila kuchonganishwa na wa magharibi?
 
Kumbe John Garang alikuwa anapigana na popo!
Ndiyo maana nimekuambia nikufundishe kidogo, John ngarang wenyewe walikuwa wanapiga na serikali ya Sudan kutoka kusini na makabila yao ni dinka na nuer na walikuwa ni SPLA na ni wakristo, dafuur ni janjaweed na ni waislam.
 
https://www.amnesty.org/en/latest/n...ia-refugee-crisis-international-resettlement/

By December 2014

The six Gulf countries - Qatar, United Arab Emirates, Saudi Arabia, Kuwait and Bahrain - have offered zero resettlement places to Syrian refugees

Germany has pledged 30,000 places for Syrian refugees through its humanitarian admission programme; nearly half the global total of resettlement and humanitarian admission programme places for Syrian refugees and 82 per cent of the EU total.Germany and Sweden together have received 96,500 new Syrian asylum applications in the last three years, representing 64 per cent of all such applications in the EU.Excluding Germany and Sweden, the remaining 26 EU countries have pledged a mere 5,105 resettlement places, or 0.13 per cent of Syrian refugees in the main host countries.
Link The nations that sent the most arms to Syria have accepted the fewest refugees
 
Unaweza kueleza kwa maelezo yako hata kea muhtasari?

Tunaweza wote kusoma article moja tukapata majibu mawili tofauti.
Umezoea mambo ya kiparokia.
Soma tu, usipoelewa, omba msaada ueleweshwe. Ueleze ni nini, au wapi katika hiyo article ambapo hukuelewa.
Baada ya kusoma hiyo article, weyeee!! umepata jibu lipi?
 
Swali nililouliza hujajibu, ulilojibu sijauliza.

Halafu unashindwa hata kuweka muhtasari kwa maneno yako.
Naomba uwaekee wadau huo muhtasari kama umeisoma hiyo article. Huna kawaida ya kutaka kujifunza, unapenda ligi tu.
 
Umezoea mambo ya kiparokia.
Soma tu, usipoelewa, omba msaada ueleweshwe. Ueleze ni nini, au wapi katika hiyo article ambapo hukuelewa.
Baada ya kusoma hiyo article, weyeee!! umepata jibu lipi?

Mimi sina dini na wala siamini uwepo wa mungu. Mambo ya kiparokia niliyoyazoea yapi?

Nisome kitu gani wakati articles zako hazi address swali langu?

Wapi katika articles zako kuna jibu la swali langu?
 
Naomba uwaekee wadau huo muhtasari kama umeisoma hiyo article. Huna kawaida ya kutaka kujifunza, unapenda ligi tu.

Hata hujaweza kuelewa ninachoandika.

Muda wangu kuweza kusoma hiyo article, inabidi wewe unayenipa hiyo article unionyeshe japo kwa muhtasari kwamba hiyo article itajibu swali langu.

Swali langu linauliza, kwa nini waislamu wanakimbilia Germany kusiko waislamu na hawakimbilii Saudi Arabia na Qatar kuliko na waislamu wenzao?

Sasa kama hilo ni swali langu, halafu wewe unaniletea link ya article inayosema "Europe needs immigrants", bila ya kunieleza jinsi gani hiyo article ambayo kichwa chake kinaonyesha haijibu swali langu, itajibu swali langu, kwa nini niisome?

Swali uliloulizwa hujajibu, unalojibu -Europe needs immigrants or not- silo nililouliza.

Kwa nini nisome hiyo article?
 
hawezi kujibu, mimi ntamsaidia wengi wanaokimbia ni kwa sababu ya kunusuru maisha yao na wanakimbia vita, sasa syria upande uliopakana na iraq kuna vita na isil,na qatar ni mbali iko karibu na iran hivyo njia iliyo wazi ni baharini ambapo ni Cyprus na europe,hivyo ndiyo sababu ya kuelekea huko.
 
Hata hujaweza kuelewa ninachoandika.

.......
Swali langu linauliza, kwa nini waislamu wanakimbilia Germany kusiko waislamu na hawakimbilii Saudi Arabia na Qatar kuliko na waislamu wenzao?

Sasa kama hilo ni swali langu, .........
Kwa nini nisome hiyo article?

Link Islam in Germany - Euro-Islam: News and Analysis on Islam in Europe and North America

Link 2. 5 facts about the Muslim population in Europe | Pew Research Center

Link 3. Germany's Muslim Demographic Revolution

link 4. Germany Replenishes Itself With 6 Million Muslims - Op-Eds - Arutz Sheva
 
hivi waarabu hawawezi kukaa pamoja na kufanya mambo yao bila kuchonganishwa na wa magharibi?
FYI, UCHUMI !!

Syria kabla ya vita currency yake ilikuwa 1 Lira = 1 US$

Iraq kabla ya kuvamiwa currency yake ilikuwa 1 Dinar = 2 US$

Libya kabla ya kuvamiwa Currency ya ilikuwa 1 Dinar = 1.6 US$

Sasa tafakari kilichowakumba hao wenye uchumi unaotishia masilahi ya MAGHARIBI!!!
 
....hapa tusitafune maneno..unafiki wa kisiasa, na tamaa za kisiasa, na kuasi "miongozo thabiti toka kwenye "chimbuko la juu kabisa la mafundisho", ktk kada za uongozi wa kisiasa na kidini ktk "umma wa kiarabu" ndio mbegu iliyopelekea hayo tunayoyashuhudia...!hapo tusisahau kugawanyika kwa sudan.....! matatizo ktk nchi za kiarabu na yataonekana sawia, tofauti na kwingineko ktk mtazamo huo...!
 
Mkuu baada ya miaka 10tu na siyo 30... DUNIA nzima itakuwa ina DAMU ya kiaarabu!! BABA wa vizazi wote kaunhi hii wameumbiwa WAARABU wee tazama ushuhudie......!!!Umeona FITINA zilivyowaumbuwa hao wa magharibi... limenuka na kuibukia kwao!!! jogi Gidbang m-colour Major

mbona unatetea sana waarab kwan na wewe n mmoja wao?au ndo mambo ya udini maana haichelew kusikia islam na arab
 
Last edited by a moderator:

German kusiko na waislamu as a dominant religion.

Hujajibu swali kwa nini Waarabu hawakimbilii Saudi Arabia na Qatar kwa waarabu waislamu wenzao wanakimbilia Germany kwa wazungu wakristo.

Hujajibu swali hili.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom