Unafiki wa Waarabu wadhihirika duniani

Unafiki wa Waarabu wadhihirika duniani

Status
Not open for further replies.
https://www.amnesty.org/en/latest/n...ia-refugee-crisis-international-resettlement/

By December 2014

The six Gulf countries - Qatar, United Arab Emirates, Saudi Arabia, Kuwait and Bahrain - have offered zero resettlement places to Syrian refugees

Germany has pledged 30,000 places for Syrian refugees through its humanitarian admission programme; nearly half the global total of resettlement and humanitarian admission programme places for Syrian refugees and 82 per cent of the EU total.Germany and Sweden together have received 96,500 new Syrian asylum applications in the last three years, representing 64 per cent of all such applications in the EU.Excluding Germany and Sweden, the remaining 26 EU countries have pledged a mere 5,105 resettlement places, or 0.13 per cent of Syrian refugees in the main host countries.
Walioanzisha vita katika hizo nchi,ndio wabebe mzigo,mbona nchi zilivyotulia ilikuwa hakuna wakimbizi.
 
Hili swala tulikuwa tunazungumzia juzi tu kazini.

Nchi kama Qatar,utajiri wote kwanini hawawachukui hawa ndugu zao?

Cha ajabu hao waarabu leo wanasaidiwa kesho wanaenda kujilipua kwenye nchi hio hio waliombaa hifadhi.

Hawa watu laana ya kuwa na chuki inawaangamiza vibaya.
Walioanzisha vita,ndio wabebe mzigo,ndio watajifunza Mara nyingine,wasitie fitina nchi nyingine.
 
Waarabu ndo walianzisha biashara ya kuuza binadmu wenzao. Hiyo ni laana vizazi na vizazi vyao
 
Waarabu ndo walianzisha biashara ya kuuza binadmu wenzao. Hiyo ni laana vizazi na vizazi vyao
Hakuna taifa wala kabila ambalo halikushiriki biashara ya utumwa,Nabii Musa alitumwa kuwakomboa wanaIsrael wakiwa utumwani nchi ya Misri, ambayo ni nchi ya kiafrika. Ujuwe hata sisi waafrika tuliwafanya watumwa waisrael.
 
Waliosababisha ukosefu wa utulivu katika hayo mataifa ya waarabu ni wakina nani? Hao waliopeleka vita Iraq, Syria, Libya n.k ndio wabebe mzigo wa wakimbizi.

Well said kaka,yatupasa kutafakari kabla ya kunena.
 
Waarabu wamestuka, jamaa wanalazimisha ili wawaingize wale askari zao wa kukodiwa kwenye nchi zao kama wakimbizi.

Kinachoenedelea sasa hivi ni "divide and rule" lakini Allah ana shani yake, anawapeleka hukohuko makundi kwa makundi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom